Biashara ya playstore application na blogu ina faida gani?

Saatatu

Member
May 31, 2013
83
28
Kwa mud mwingi sana watu wanatengeneza blogu na applications kwenye Playstore ili ziwaingizie kipato.

Je, ni kwa namna gani nitafidika na bligu au kutengeneza application kwenye G/Playsore??

Naomba kutoa hoja.
 
Duh...
Nimependa uandishi wako tuu!!!
..
Nikipata muda narejea na najibu kwa kina.
Inshort: faida utaipata kupitia Ads (Matangazo)
 
Back
Top Bottom