Biashara ya pembe za ndovu na umaarufu wake

Lukolela

Senior Member
Jul 22, 2013
128
11
Ni matumaini yangu kuwa wana JF mu bukheri wa afya. Lengo kubwa la kuweka uzi huu ni kutafuta msaada wa elimu kuhusu meno ya tembo na pembe za ndovu.Jambo kubwa linalonisukuma nitafute maarifa haya hasa ni kuhusu umaarufu na kushamiri kwa ujangili na taarifa kuu mitaani nchi nzima ikiwa ni biashara ya bidhaa hizo. Kwa msingi huo ningeomba wana jf mniongezee maarifa ktk haya yafuatayo: 1.Hii malighafi hutengenezwa bidhaa ipi? 2.Ni nini chanzo cha usiri wa bidhaa hizo zitokanazo na meno hayo? Kwa hayamachache nitapata maarifa zaidi kwani hata JK amegusia ktk hotuba yake.Plz,nisaidieni.
 
Biashara hii ipo tangu enzi za ukoloni wa muarabu ktk east africa,na wazungu sehemu zingine duniani.Sijui siri kwa kweli ya ile pembe ila ya faru hutumika kama viagra kwa kuwekwa ktk kahawa kidogo tuu kitu kinasimama kama pembe
 
Asante sana.lakini inamaana kama ni tiba ya network ,tangu enzi hizo network ilikuwa tatizo sugu?!
 
Back
Top Bottom