Biashara ya nguo za watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya nguo za watoto

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Memory, Oct 20, 2011.

 1. M

  Memory Senior Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  WanaJF,
  Baada ya kufanikiwa katika maandalizi ya kilimo sasa nimefikia kubuni biashara sambamba na kilimo. Katika harakati za kutafuta biashara ya kufanya nimefikia uamuzi wa kuanzisha biashara ifuatayo:

  (i) Nguo za watoto kati ya 0-12yrs na mahitaji yao mengine lakini pia nikijumuisha pamoja baadhi ya mahitaji ya akina mama.
  (i) Simu za mikononi na makasha yake.
  Hii yote itakuwa katika mkoa wa Mwanza.

  Ombi langu kwa wale wenye uzoefu na hii biashara ni kwamba naomba kupata connection na wafanyabiashara wa jumla wa nguo za watoto hapa Tanzania especially Kariakoo lakini pia ninaomba kufahamishwa ni nchi zipi wafanyabiashara wa nguo wa Tanzania wanachukulia nguo zao kwa jumla. Hapa namaanisha nguo ambazo ni affordable kwa watanzania wenye kipato cha kati na cha chini.

  Naomba pia nifahamishwe ni nchi gani wafanyabiashara wa simu za mikononi wanapata hii bidhaa. Nilisikia kuwa kuna nchi simu zinauzwa katika mzani na akina mama wa Uganda wanaenda sana huko, je kuna mtu mwenye data za hii biashara? maana zamani ilikuwa dubai lakini siku hizi nasikia dubai hailipi tena. Naomba msaada kwa wazoefu wa hii kazi.

  Ushauri katika hii biashara pia utakuwa mhimu sana.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unataka uwe unaenda kuchukua mzigo mwenyewe nje au unataka mzigo ukishatua ndio ununue za kuuza kwa jumla?
   
 3. M

  Memory Senior Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  @Husninyo
  Thanks kwa kuonesha nia ya kunipatia data. Kwa kuanzia nitaanza kununua mzigo ambao tayari upo hapa nchini kwa wateja wanaouza jumla then nikipata uzoefu na biashara naweza nikaextend na kufikiria kuchukua mzigo nje moja kwa moja. Hili ndilo wazo langu hasa katika suala la nguo ila nitafurahi kwa ushauri tofauti kwa wazoefu.

  Ninapanga kuanza na nguo lakini baadaye baada ya kuona biashara ya nguo imesimama vizuri ndipo nitaongeza biashara ya simu. Kwa upande wa simu ningependa kuzifuata moja kwa moja nje.
  Ahsante
   
 4. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  check your pm na ujibu kama uko serious
   
 5. Mazogola

  Mazogola Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Habari za asubuhi wana JF

  Nakuja tena nikiomba ushauri juu ya biashara kama hii nimekuwa nina interest nayo sana yaa kuuza vifaa vya watoto wachanga mpaka wakubwa kidogo
  kwanza nllitaka nijue gharama za kuanziasha hilo duka l. mtaji ni kama shi ngapi hivi

  Nahitaji wataalamu waliowahi kufanya hii kitu wanijuze
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
 7. D

  DIBEGU Member

  #7
  Jun 2, 2014
  Joined: Apr 9, 2014
  Messages: 17
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wapi nitapata hii bidhaa kwa bei nafuu?
   
 8. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2014
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  una mtaj ias gan?
  Ziwe special au mtumba?
   
 9. o

  ommy15 Senior Member

  #9
  Jun 3, 2014
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45

  FYI,uSISAHAU KUNAMATAPELI HUMU PIA. USIFANYA BIASHARA YA KUTUMA HELA UTUMIWE MZIGO BORA USAFIRI KWA GHARAMA KUBWA COZ UNAHITAJI KWA SASA NI UJUZI NA SEHEMUZ AKUNUA MZIGO THEN FAIDA UTAPATA UKIWA SUGU. ALL THE BEST
   
 10. F

  Frank jb JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2014
  Joined: Jun 3, 2014
  Messages: 411
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Ni kwel mkuu mzigo fuata mwenyewe
   
 11. B

  BARADIGE Member

  #11
  Apr 23, 2015
  Joined: May 22, 2014
  Messages: 36
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Lakin kama mtu anajua kumwelekeza c mbaya maana ili ajipange kwanza
   
 12. k

  kaka imma New Member

  #12
  Sep 12, 2016
  Joined: Sep 6, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  habari wana JF
  naomba msaada wa mawazo na uzoefu kwa wale wanaofanya biashara ya kuuza nguo za watoto wadogo kuanzia umri 0- 10 hv je kwa biashara ya jumlajumla mzigo mmoja wa nguo za watoto bei gani? na vp kuhusu vifaa vya watoto km car seat, vitanda, na vyoo vya watoto navyo vinauzwaje kwa bei ya jumla??
   
 13. mlowola

  mlowola Member

  #13
  Nov 4, 2016
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 82
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  Habari wakuu,

  Nakusudia kuanzisha biashara ya nguo za watoto wachanga chini ya umri wa miaka miwili.Nahitaji msaada wa mawazo kwa mwenye uzoefu wa hii biashara. Nipo Dar es salaam. Mtaji wangu ni shilingi milion tatu (3000,000/=).
  Nawasilisha.
   
 14. Abuhunna

  Abuhunna JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2016
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 345
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Ushauri wangu, fungua duka la bidhaa za watoto kwa ujumla wake, yaani kuwe na nguo, diapers, mafuta, poda, sabuni, na vifaa vya kuchezea watoto, lenga sehem yenye mkusanyiko wa watu, ukibahatika kwenye makutano ya barabara nyingi, kwa msingi huo mdogo maisha yatasonga vizur tu.
   
 15. mlowola

  mlowola Member

  #15
  Nov 4, 2016
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 82
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  Ahsante mkuu kwa ushauri wako,naufanyia kazi
   
Loading...