Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

500 kwa 580 mbona kama faida ni ndogo sana na hii ni kwa aehemu zote za manunuzi au kuna mikoa mingine bei ya kununua huwa chini kiongozi...?

Na pia, hii bei inakuwa ni kwa siku zote au ni miezi mingine bei huwa nzuri...?
Faida kwa kila ng'ombe ni ndogo makadirio ya chini 40,000 ama 30,000 ukitoa gharama zako zote unatakiwa uwe na msingi mzuri kama ng'ombe kumi 30,000 × 10 = 300,000.

Bei zinatofautiana mikoa kwa mikoa ila kwa lugha nyengine ndo yaleyale ukienda mbali sana hatima yake gharama zitaongezeka.
 
Mbona changamoto sasa.

Niliwaza nianze hii kitu..ila naona ni kusungua kumbe...
So kwenye biashara hii wapi kuna unafuu.

#MaendeleoHayanaChama.

Hakuna biashara isiyo na changamoto mbona faida 40,000 ama 30,000 nikubwa sana kwa kila ng'ombe tuseme una ng,ombe 10 si 300,000 ukiwa una 20 si 600,000 per weak ukiwa na 30 si 900,000 per weak ukiwa na 40 si 1,200,000 per weak mtaji wako tuu ukitaka faida kuanzia 150,000 kwa kila ng'ombe Jaribu kufungua may be ofisi zako za Butchery uwe unazichinja mwenyewe.

Wenye mitaji mikubwa,unaenda mikoa kama shy,huko ng'ombe wa 500,000lazima utauza kwa laki 650 mpaka saba,,na mnada ukiwa mzuri mpaka laki nane,kwahiyo unakuwa na uwezo wa kumake faida 50,000 hadi 100,000 kwa ng'ombe,
Ng'ombe anaeuzwa laki tano mikoa ya karibu na dar mfano morogoro,arusha kwa shinyanga utamnunua kwa 300,000 hadi 400,000
 
Hakuna biashara isiyo na changamoto mbona faida 40,000 ama 30,000 nikubwa sana kwa kila ng'ombe tuseme una ng,ombe 10 si 300,000 ukiwa una 20 si 600,000 per weak ukiwa na 30 si 900,000 per weak ukiwa na 40 si 1,200,000 per weak mtaji wako tuu ukitaka faida kuanzia 150,000 kwa kila ng'ombe Jaribu kufungua may be ofisi zako za Butchery uwe unazichinja mwenyewe.

Basi kuna jamaa yangu mmoja aliniambia faida ya ng'ombe ni nusu kwa nusu yaani kwa ngo'mbe utakayemnunua kwa laki 4 unaweza kumuuza kwa laki 7 mpaka 8 kwa Pugu.

Sasa nnavyoona hapa na niki-connect dots naona kuna utofauti mkubwa sana sana...!
 
Sasa mkuu ukujiongeza watu wote wangekimbilia hiyo biashara kama inafaida hivo faida in hizo za 40,000 kwa kila ng'ombe ukitoa gharama zako zote inatokeaga tu kismart mkoani mnada unakuwa hauna wanunuzi ndo utapata faida kubwa tena haitovuka 100,000.
 
Duuuuuuuh asante sana kiongozi...!
 
  • Thanks
Reactions: npm
Kama ukiwa mvumilivu ukanunua ng'ombe wadogo(200tsh)then ukawachunga a year wanakulipa vizur tu,au ukanunua ambao wamekonda then ukawalisha pumba vizur wanalipa pia mkuu,ndivyo wanafanya huku vijijini.

Ila kama unataka wanono lazma faida itakuwa ndogo kama kuna mjumbe huko juu ameainisha ila nzagamba ya nyankole/nyabhugesela hizo ni 650tsh above bro kutegemeana na eneo na mnada wa sku hio,ila pia unaweza ukafungua duka la nyama itakulpa zaid hasa kama upo dasilamu!!!kikubwa bei zinategemea na aina ya ng'ombe,eneo,muuzaji,obheja nkoi onene nagelela henaha!
 
Ushauri wangu fanya upembuzi yakinifu wa Biashara hii....usikurupuke! Utazamisha mtaji. Ukishapembua kwa kina ng'ombe wazuri wenye uzito huo kwa wingi utawapata katika minada yote ya
Mkoa wa Geita( hapa wanakuwa na asili ya kinyankole Hadi kg 500+ utapata)
Ushirombo, chato, Geita, bukombe ,runzewe wapo wengi na usafiri ni wa uhakika

Mkoa wa kagera- biharamulo,nyakanazi, lusahunga , ngara, muleba na karagwe hapo wapo wengi Sana na zaidi ya kg 100

Mkoa wa Dodoma utapata Wengi ni ile mbengu ndogo ila kg 100-200+ wilaya za chemba, bahi, chamwino, happy uhakika

Mkoa wa shinyanga, ng'ombe ni wakubwa kidogo kuliko wa Dodoma utapata kwenye minada ya kahama, tinde, didia, mhumze, kishapu, nk

Mkoa wa simiyu-bariadi , meatu nk

Mwanza , sengerema , misungwi,magu nk

Asante
 
Mkuu
Mimi nina wazo hili, la kununua ng'ombe kipindi cha kiangazi kisha kuwalisha kwazero grazing kutumia hydroponics na pumba. Kuna mwenye uzoefu na hili atupe ushauri wakuu??
Piga hesabu zako vizuri mkuu unaweza kuingia kwenye kwnye cost kubwa na uspate faida kama upo eneo lenye majani fanya kuchunga tu au kata majani au panda majani kwa ajili ya ng'ombe wako. pia pumba na hydoponic fodder avitoshi kufikia requirements za ng'ombe .

Mnyama anahitaji mlo kamili. kumnenepesha kwa matokeo mazuri mpatie majani (majani makavu ni bora zaid)na concetrates zenye mchanganyiko wa pumba ,mashudu ,madini ,chokaa n.k
 
Karibu Pwani wilaya ya Kisarawe. Ng'ombe wanapatikana kwa wingi (inategemeana na mtaji wako tu) halafu ni jirani sana na Dar hvyo itakuwa advantage katika masuala ya gharama za usafirishaji n.k..

Karibu PM kwa details zaidi.
 
Wilaya ya Kisarawe vijiji gani naweza kununua ng'ombe kwa urahisi,namanisha vijiji gani kuna minada ya ng'ombe?

Back
Top Bottom