Liuti tarq

Member
Sep 17, 2019
8
45
Biashara ya Nazi.

Habari zenu wakuuu

Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa.

1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini dar es salaam kwa jumla na rejareja.

2. Pia kama Kuna viwanda vyovyote ambavyo huwa vinahitaji nazi Kama malighafi, je hivyo viwanda Ni vipi na vinanunuaje hizo Nazi? Na unafuata utaratibu gani ili uweze fanya nao biashara?

3. Pia je Ni mikoa gani mingine tofauti na dar ambayo inasoko la uhakika la Nazi? (Naombeni mniitajie na wilaya ya mkoa husika Kama utaweza).

4. Pia katika kuulizia kwangu niliambiwa kua morogorogo kilosa Nazi zinapatikana kwa wingi, naombeni uhakika wa hiii taarifa Kama Ni ya ukweli.

5. Pia kwa wenye kuhitaji kufanya biashara ya Nazi na Mimi naomba tuwasiliane kupitia 0789004938 mzigo ninao wa kutosha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom