yang jidon
Member
- Oct 27, 2018
- 31
- 19
Habari za mchana wakuu, naomba kujua kwa wazoefu au wenye ujuzi mashamba ya nazi Tanga ni wapi na bei huwa zinachezea ngapi pia changamoto ya biashara hii ikibidi njia za kuepuka gharama zisizo za lazima. Mimi nataka kuanza hii biashara na mtaji wa laki 3 tu.
Changia chochote ulichonacho ikiwa una uhakika nacho Mungu atakubariki
Karibuni sana
Changia chochote ulichonacho ikiwa una uhakika nacho Mungu atakubariki
Karibuni sana