Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

yang jidon

Member
Oct 27, 2018
33
95
Habari za mchana wakuu, naomba kujua kwa wazoefu au wenye ujuzi mashamba ya nazi Tanga ni wapi na bei huwa zinachezea ngapi pia changamoto ya biashara hii ikibidi njia za kuepuka gharama zisizo za lazima. Mimi nataka kuanza hii biashara na mtaji wa laki 3 tu.

Changia chochote ulichonacho ikiwa una uhakika nacho Mungu atakubariki

Karibuni sana
 

baghozed

JF-Expert Member
May 26, 2011
532
225
Nenda Pangani(Mwera,Ushongo,Mkwaja) huko utapata kwa bei nzuri na usafiri ni huko huko kutoka kipumbwi to Mkokotoni Znz.kwa maelezo zaidi tafuta wenyeji wa maeneo hayo
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,252
2,000
Samahani chief, kwa jinsi ulivyoandika inaonesha unataka kufanya biashara ya nazi kutoka tanga kwenda zanzibar.. Je zanzibar kuna uhaba wa nazi!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom