pacificamarine
Member
- Dec 1, 2010
- 68
- 4
Naomba nitangaze biashara yangu humu JAMVINI ili iwafikie wale wenye mahitaji.
Kama unatafuta au una shida na kitu, kifaa au chombo chochote kipya au kilichotumika, tena genuine, au unatafuta spea ya aina yoyote ya gari, pikipiki kubwa au vitu vya electronics, batteries, vitabu , computer softwares, laptops, camera parts, music system parts, information, au kifaa kingine chochote ambacho huwezi kukipata hapo Tanzania, basi ijaribu PACIFICA MARINE LLC ambayo inafanya shughuli hizi tangu 2005.
Sisi tumesajiriwa hapa Washington DC nchini Marekani na tunao mtandao mkubwa sana wa kukuwezesha kupata kitu unachohitaji tena kwa bei inayoeleweka. Unachotakiwa kufanya ni:-
1. Kuwasiliana nasi kwa e-mail: pacificamarine@yahoo.com na kisha utueleze hitaji lako. Tutaanza mawasiliano nawe kwa kukupigia simu au e-mail ili utupe details za kitu unachotafuta.
2. Tutakutafutia na kukupa bei ya kununulia kifaa hicho pamoja na gharama ya kukisafirisha.
3. Tukikubaliana, tutakinunua popote kilipo ( hasa USA, Canada, Australia, Japan au UK) China haimo kwenye uwakala wetu.
4. Tutakituma kwa agent wetu ambaye yupo hapo Haidery Plaza karibu na Posta Mpya, Dare s Salaam, Tanzania. Pia tutakupa contact zake za simu ili uanze kuwasiliana naye.
5. Kikishafika Dar es Salaam, utakwenda ofisini kulipia na kisha kuchukua kifaa chako.
Pamoja na shughuli hizi, tunasafirisha mizigo kwa njia ya meli kutoka USA kwenda kwenye bandari zote zilizoko Pwani ya Bahari ya Hindi, kama Djibouti, Mogadishu, Mombasa, Tanga, Dar es Salaam, Beira na Durban huko Afrika Kusini. Tunasafirisha kwa njia ya makontena na loose cargo vile vile.
Pia kunauza tiketi za ndege kupitia kwa wakala wetu walioko Florida, USA. Hata kama unasafiri toka Mwanza kwenda Dar es salaam, unaweza kuulizia ni kiasi gani kwa return ticket nasi tutakukatia hiyo tiketi. Bei zetu ni very competitive .
Hivi karibuni tumeanza kuuza magari toka USA na biashara inaendelea vizuri. Tunazo reference nzuri kwa watakaohitaji.
KARIBUNI