Biashara ya Mkaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Mkaa

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Fmewa, Jan 9, 2012.

 1. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wakubwa.
  Katika mihangaiko ya hapa na pale ninafikia kukata miti ili nichome nipate mkaa.
  Nina eneo (shamba) Kiwangawa bagamoyo heka 4, nategemea kulitumai kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji kulima matunda (matikiti maji) na ikiwezekana sehemu nyingine nifuge. Kwa sasa kwa sababu sina mtaji nimeona ile kwa kua eneo nililonalo ni kama pori/msitu lina miti mingi mikubwa ambayo inafaa kwa kuchoma mkaa nimeona nikate miti hiyo ili nipate mkaa ambao pesa itakayopatikana nitaitumia km mtaji ktk kuandaa hicho kilimo. watu wenye uzoefu na mkaa wanasema heka zangu mbili zinaweza kutoa maguani 400 au 500 ya mkaa.
  Ninachopenda kujua nikuhusu ni wapi ntapata soko la mkaa, usafirishaji ukoje, bei zake zikoje na taratibu za biashara hii kisheria.
  Tafadhali naomba ushauri katika hili.
  Asanteni
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  nenda kwa whole sellers wa mkaa,wao watakuja kuchuku ulipo,hasa kama panafikika kirahisi.ukiweza omba vibali ulete mwenyewe town,faida utapata maradufu
   
 3. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako, ebu ngoj niwatafute hawa whole sellers, ila nasikia kuleta mjini ni ghara kwani inasemekana ushuru uko juu, kwa mara ya mwisho niliambiwa ushuru kwa kila gunia ni Sh 13,000 na mie sina mtaji mkubwa.
  Ila samahani hivyo vibali naweza kuvipata wapi? km una details naomba nisaidie
  Once again nashukuru sana kwa taarifa hizo
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ila Serikali huwa inasumbua sana wafanya biashara wa mkaa.
  Jiandae na hiyo changamoto.
   
 5. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nkaushukuru kaka kwa kunijulisha juu ya changamoto hiyo
   
 6. NITATOA USHUHUDA

  NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2017
  Joined: Jul 6, 2017
  Messages: 548
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 80
  FANYA UPESI ,SI UNAONA GESI INAVYOTAPAKAA
   
Loading...