BIASHARA YA MITUMBA.

StanyHD

Member
Mar 31, 2018
25
12
Ndugu zangu nakuja kwenu nikiamini humu tupo watu wengi wenye uzoefu tofauti tofauti na uzoefu huo utatujenga wote.

Lengo langu n kufanya biashara ya mitumba, na lengo langu n kuwa nanunua belo na kuuza. Nahitaji kujua Kati ya kuwa na flemu au kuzunguka minadani bora nini?

Belo zuri ambalo nguo zake n rahisi kuuzika n kuanzia tsh ngapi na ni nguo za aina gani?

Pia mwenye uzoefu wa kutoa mzigo Uganda anambie, na vipi kuhusu wale wanaochanaga mzigo asubuhi Sana pale karume na kuuza faida yao ipoje? Na mzigo wanatoa wapi? Je unaweza kuwa unamaliza belo moja kila asubuhi na faida hela ngap?

Natanguliza shukraniiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ngoja tusubiri maoni ya wadau walio tayari kushare kwa wazi... Naimani utapata pa kuanzia....hapahapa jamvini
Ndugu zangu nakuja kwenu nikiamini humu tupo watu wengi wenye uzoefu tofauti tofauti na uzoefu huo utatujenga wote.

Lengo langu n kufanya biashara ya mitumba, na lengo langu n kuwa nanunua belo na kuuza. Nahitaji kujua Kati ya kuwa na flemu au kuzunguka minadani bora nini?

Belo zuri ambalo nguo zake n rahisi kuuzika n kuanzia tsh ngapi na ni nguo za aina gani?

Pia mwenye uzoefu wa kutoa mzigo Uganda anambie, na vipi kuhusu wale wanaochanaga mzigo asubuhi Sana pale karume na kuuza faida yao ipoje? Na mzigo wanatoa wapi? Je unaweza kuwa unamaliza belo moja kila asubuhi na faida hela ngap?

Natanguliza shukraniiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya mitumba inalipa sana ila inahitaji juhudi na ubunifu wa hali ya juu,
Unaweza fanya kwa kuzunguka au hata kuweka kwenye flemu,
Ni vile we we utaona inafaa japo ya flem ni nzuri zaidi kwani ni rahisi kutengeneza wateja wa kudumu.

Belo nzuri (grade AA) ya 45kg pale M/mmoja inauzwa kati ya 400,000-600,000 hii inategemeana na aina ya nguo na ubora japo zipo madaraja mengine yanayouza chini ya japo.

Uzoefu wa hali ya juu unahitajika katika uchaguzi wa balo lenye nguo nzuri,ni heli ukaambatana na mfanyabiashara mzoefu na unayemuamini ili akuchagulie mali nzuri.
Nguo za watoto na wanawake zinatoka zaidi ukilinganisha na za wanaume lakini pia belo la round t-shirts grade A linalipa sana.
Kuna mengi unayotakiwa kujifunza kabla na wakati lakini hayo ndiyo ya msingi zaidi.

GEZUZ.
 
Sante sana mkuu

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom