Biashara ya mitumba

matindi1

matindi1

Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
5
Likes
2
Points
5
matindi1

matindi1

Member
Joined Nov 2, 2018
5 2 5
Habari ya kazi jamani nimejipigapiga kutokana na ukosefu wa ajira nimepata elfu sabini (70000) nataka nifanye biashara ya mituma kutembea nayo kwenye magulio na masoko mbalimbali niwe natandika sehemu nauza SWALI LANGU JE NI MITUMBA YA AINA GANI NAWEZA KUPATA WATEJA WENGI HUKO VIJIJINI MAANA NIPO MOSHI?

USHAURI TAFADHARI
 
worms

worms

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
598
Likes
388
Points
80
worms

worms

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
598 388 80
Jaribu kutembelea hayo magulio na uone ni mitumba ya aina gani hasa inayotoka,

Huenda pia nguo za dukani zikawa zinatoka zaidiSent using Jamii Forums mobile app
 
Mr dark light

Mr dark light

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Messages
294
Likes
163
Points
60
Mr dark light

Mr dark light

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2018
294 163 60
Habari ya kazi jamani nimejipigapiga kutokana na ukosefu wa ajira nimepata elfu sabini (70000) nataka nifanye biashara ya mituma kutembea nayo kwenye magulio na masoko mbalimbali niwe natandika sehemu nauza SWALI LANGU JE NI MITUMBA YA AINA GANI NAWEZA KUPATA WATEJA WENGI HUKO VIJIJINI MAANA NIPO MOSHI?

USHAURI TAFADHARI
Njoo nikuuzie pensi za mtumba kwa bei rahisi kabisa nicheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645