Biashara ya mitumba kampala!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,096
9,218
TUPO MBIONI KUANZA BIASHARA YA KUUZA MITUMBA HAPA DARA NIMEAMBIWA KUWA ,UKIENDA KAMPALA KUNA MITUMBA SAFI YA KUFA MTU ,NAOMBA MWENYE MAELEZO FASAHA KUHUSU BIASHARA HII NA NGUO KWA UJMLA.hIVI KARIBUNI NATARAJIA KWENDA KAMPALA !
 
Sidhani kama ni kweli, ilikuwa hivyo miaka ya mwanzoni mwa tisini wakati huo watanzania wamenasa hapahapa waoga wa kusafiri, kwa sasa direction has changed wanakokwenda waganda na watanzania watia mguu kama kawa.

lakini kama una taarifa kwamba bado wanalead kwa pamba za ukweli nakushauri uende.
 
TUPO MBIONI KUANZA BIASHARA YA KUUZA MITUMBA HAPA DARA NIMEAMBIWA KUWA ,UKIENDA KAMPALA KUNA MITUMBA SAFI YA KUFA MTU ,NAOMBA MWENYE MAELEZO FASAHA KUHUSU BIASHARA HII NA NGUO KWA UJMLA.hIVI KARIBUNI NATARAJIA KWENDA KAMPALA !

Kwani mitumba inatoka wapi Mkuu? ifuate hukohuko inakotoka, na siku hizi ni rahisi zaidi kuagiza mzigo hata kama unaona robota kumi kuzifuata marekani au uingereza hailipi, kuna watu waliopo huko watakuletea mpaka Bongo!
 
Mkuu kidogo ungetoa mwanga jinsi ya kuagiza toka marekani na uingereza kwani nasikia njia hiyo ni rahisi lakini jinsi ya kuwapata wanaohusika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom