Biashara ya MIN SUPERMARKET | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya MIN SUPERMARKET

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DATOGA, Jan 7, 2012.

 1. D

  DATOGA Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndg wana JF ni matumaini yangu mu kheri wa afya njema.

  Naomba USHAURI juu ya biashara ya Min Supermarket kama italipa, mtaji wangu sio zaidi ya 10M.
  Naomba wenye ufahamu na hiyo biashara kama kila bidhaa au bidhaa zote ndani ya supermarket huwa zinanunuliwa na mmliki wa supermarket? (do i have to buy everything to put in my ka small supermarket?)

  Pia kuna mtu kaniambia bidhaa ndani ya supermarket huwa zinabadilishwa na kuwekwa zingine mpya kila baada ya miezi kadhaa, je hiyo ina ukweli ndani yake?

  Mie ni mzoefu wa biashara za madukani (retail shops) kwa mda mrefu.

  Wenu ktk ujenzi wa Taifa la TANGANYIKA.
   
 2. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nasubiri majibu nami nijifunzie hapa.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  What I know ni kwamba Mini supermarket inalipa bila longo longo.
  Kwa mtaji wa Milioni 10 hautoshi, labda kama tayari umeshapata jengo na ujenzi wa flemu za kupangia bidhaa umeshafanyika then hiyo 10Mil ni ya kununulia bidhaa, hapo itatosha.
  Kikubwa ni location.
  Tumia muda wako mwingi kufanya utafiti wa location kwani ukikosea hapo kila kitu kitaharibika.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  try to outsource contract suppliers/producers like cadbary for chocolate, azam products, del monte,uniliver, brookside, coca cola, etc , you will save from their bulk resale/wholesale price and good enough the products will be delivered at the door of your shop theirfore increase your profit margin by saving transportation costs, also their products are quaranteed incase of technical defects and your shop will enjoy seasonal sales by swapping/exchange of slow moving product to fast moving goods from above mentioned dealers

  pia utapata marketing and promotional materials free from these companies, the likes of tshirts, caps, plastic bags, pen, umbrellas, flyers and posters that market and advertise the products at your shop free
   
 5. N

  Njele JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na ushauri huo, lakini shaka langu ni kwenye bidhaa ambazo ni parish-able food, hapo ndipo maana si kila mara zote zitanunuliwa, ndio maana utaona bidhaa za supermarket ni kubwa kwa ajili ya kufidia bidhaa ambazo huharibika mapema na kutupwa. Wasambazaji wengi wa bidhaa hizo hawana garantee ya kubadilisha zilizoharibika hasa katika nchi nyingi za afrika. Kwa vyo vyote fanya utafiti wa kutosha kabla hujaanza, maana wengi hapa tutakupa maumaini halafu baadaye ukaona mambo ni kinyume chake. Usitegemee zaidi ushauri wa hapa, bali ushauri wetu utakusaidia kupata majibu sahihi katika utafiri utakaofanya kwe wenye uzoefu na bishara za aina hiyo hapa Tanzania.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  njela

  your comments/advice/opinion and views are highly valued
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ongezo: chukua muda kutafiti vitu vinavyotakiwa.... ili viweze kutoka vikinunuliwa..
   
 8. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hapo unamtihani sana mtaji mdogo eneo la watu wenye tamaduni wa ununuzi kwenye super market yanataka mtaji mkubwa kwa maana akija akitaka item anapata za kumtosha so hichi huna kile huna, ila kikubwa ubunifu ndo utaweza, ubunifu wako ndo utakufanya umudu biashara hiyo.
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu kwangu mm supermarket ni kimeo!expiring ndio changamoto!unaeza kuta bidhaa zina expire karibu za milion 2 kwa mkupuo!inabd uwe very strategic kwenye supermarket mkuu!otherwise utalia kama Patcco.
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Supermarkets zinaushindani sana kwa makampuni makubwa, hata hivyo makampuni mengi siku hizi yanafunga supermarkets zao kutokana na hasara kubwa wanayopata. Kwa mazingira ya Tanzania tunahitaji supermarkets chache kwa sababu wengi wetu hawapendelei kununua huko kwa sababu ya nchi yetu bado haijawa industrialized. Vyakula ambavyo havijawa processed ndivyo vyenye soko kubwa kuliko hivi vya supermarket ambavyo vingi vimeshakuwa processed, na mapokeo ya wengi wa kiwango changu tunaogopa vyakula vya aina hivyo kwa kuhofia madawa yatumikayo kuzindikia na kuhifadhia kuathiri afya kama kansa nk.

  Kuharibika kwa bidhaa nyingi ambazo ni
  parishable food kama alivyodokeza mmoja hapo juu ni jambo muhimu kulitilia maanani. Vyakula vingi kwenye maduka aina hiyo huwa ni vya muda vinavyodumu kwa siku au majuma kadhaa na vichache kwa miezi kadhaa, hivyo kujikuta vyakula vingi ukivitupa na hivyo kuongeza bei ya bidhaa zako ili kufidia vile unavyotupa kutokana na kuisha muda wake kutotumika zaidi kiafya. Ughali wa bidhaa utawafanya wateja wabadilili mwelekeo afadhali kwenda Kariakoo, Manzese, nk ambako wanapata organic food for cheap. Kwa kiwango cha biashara hiyo hata mayai yanatakiwa yawe na muda maalum wa kuyauza si kama waswahili tulivyozoea. Ingawa nchi zilizoendelea vyakula hivi vya organic tuanvyoviuza kwenye masoko ya kienyeji ni bora zaidi na ni vya bei mbaya, wenye uwezo tu ndio wanaomudu. Tofauti ya bongo machungwa toka Afrika kusini yana bi ghali ambayo si bora kama yetu ambayo ni organicyanayouzwa kwa bei ya kutupa

  Ushauri wangu kwa mazingira ya sasa ya Tanzania, bora kuwa na
  groceries ambazo vyakula vyake ni vichache na unaweza kumudu na kujua wastani wa wateja wako utakaokuwa nao, vinginevyo unaweza jikuta umeingia hasara kubwa sana, na kujutia kupoteza mtaji wako.

  Unaweza kuona na kujifunza jinsi dunia ya leo soko la bidhaa za
  wese la kuendesha motokaa, ndege na mitambo linazidi kuumiza na wengi wanaamua kuachana nalo hasa mtaifa makubwa, tanzania bado tunalalamika tu kwa sababu ya kutojua halihalisi yanayoendelea katika soko la dunia cause and effect yake, kwaa wafanya biashara waliozoea kutengeneza super net profit na mazingira ya watumiaji kwa sasa v/s wazalishaji. Hali hiyo leo imebadilika ghafla.

  Mwisho gharama za uendeshaji wa
  supermarket ni kubwa sana kutokana na baadhi ya vyakula kuhitaji matunzo ya pekee kama kuwa na coolers ambazo zitakuingizia bills kubwa ya matumizi ya umeme. Utahitaji wafanyakazi wengi zaidi ili kuweza kumudu kuiweka sawa supermarket yako. Kwa vyo vyote si kujiingiza kichwa kichwa, bali fanya utafiti wa kutosha wa eneo, kiwango cha wateja walengwa, makampuni yatakayo supply vyakula hapo ya ndani na nje (vendors). Na mwisho usikose kupata ushauri kwa idara ya afya ya mji unakotaka kuanzisha biashara yako maana biashara hiyo si kama yacorner kiosk, biashara hiyo ina taratibu na sheria zake kutokana na kiwango na ukubwa wake kukithi masharti ya leseni unayokusudia.
   
 11. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Njoo uanzishe huku BUNJU hakuna kabisa hio kitu
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Soma hapa

  If you want to start a business here are the basic ground rules I recommend:

  1) Don't go in debt to start a business and have very good credit

  2) Work for someone else then do it yourself, journal the successes and failures of the business you are working for and work there a full year so you can note seasonal changes with customers and revenues

  3) Always do something on the smallest scale possible before making a huge commitment. Example if you want to open a bakery try selling your baked goods to a local coffee shop first and then get feedback.

  4) Try to avoid business partners when ever possible

  [h=3]Source(s):[/h]Self employed for over a decade, I start companies up and sell them off, I am on my sixth business right now currently running two companies at the same time with my spouse
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wanachokijadili hapa ndicho nilichokisema hapo juu, ni kweli kabisa, hii biashara kichaa sana usipokuwa mwangalifu. Mataifa ya nchi za magharibi unaweza kuona biashara hizo wanaoweza ni wahamiaji kutoka mataifa ya Asia, Afrika na midle east. Wazungu wengi inawashinda sana kwa sababu ya sheria zake, ila hawa wa kutoka mataifa niliyosema wanajua ujanja wa kukwepa kodi ili kuziba gharama za uendeshaji, na hawaishi maisha ya kifahari ambayo yanawapa uwezo kulilinda wanachochuma kutoka biashara hizo.
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
Loading...