Biashara ya mihogo
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,957 4,630 Nov 21, 2010 #3 Mhogo wa jang'ombe? Au wa wapi huu?
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,150 9,097 Nov 22, 2010 #4 mmhh huo muhogo ukiukaanga hapo alafu uwe na siki au kachumbari iwe na limao ya kutosha..... duuhhh sitaki mtu aniongeleshe....lol
mmhh huo muhogo ukiukaanga hapo alafu uwe na siki au kachumbari iwe na limao ya kutosha..... duuhhh sitaki mtu aniongeleshe....lol
Ngangasyonga JF-Expert Member Sep 13, 2010 455 70 Nov 22, 2010 #6 Mihogo ndio inayotulea hapa bongo, idumu macasavery
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,469 728 Nov 22, 2010 #7 Mihogo ya wapi hii ya Janyombe nini?
Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,080 6,030 Nov 23, 2010 #8 Ivuga said: Click to expand... Wa kulia mwenye blouse yenye picha, ni picha gani hiyo?