Biashara ya mifuko ya viroba, ukubwa wa debe 6 na kuendelea

Jaribu Urafiki Social hall kuna kiwanda cha Wachina au Mlandizi baada ya kituo cha polisi kama unakwenda ruvu darajani kushoto kwako kuna kiwanda pia
 
Shekh kama unataka kujikita kwenye iyo biashara na namna naweza kuwa na msaada lakini sio wa ndani ya nchi.

Kama utaweza tafuta mashine ya kushonea iyo mifuko naweza kuongea na manufacturer tuletee roller kwa bei ya 2100 Usd uzito wa ton 1.

Au

Tulete kama mifuko kamili kwa kiasi cha 0.130 Usd kwa mmoja.
View attachment 1791605View attachment 1791606

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mkuu nipe jina la campuni ya nje inayozalisha malola hayo nishone mwenyewe nilijaribu kupata taharifa hizi nikakosa nafikiri utakuwa msaada kwangu

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Biashara za bongo pasua kichwa sanaa...nishafatilia products nyingi tu kwenye viwanda tofauti tofauti unakuta bei ya kiwanda na retail price au wholesale price mtaani uta note zimepishana 1000 au 1,500 tu

Cha kushangaza utashangaa wholesalers wengi wana hela balaa sasa unawaza wanafanyaje hawa ??? Nikachunguza sana wapi.

Nikaachana na hzo mambo...yani maana yake unaweza fanya turnovers za 10M au 15 M kwa faida ya laki 1 au 2 na hapo una expenses kibao za biashara.

Nikaona biashara kichaa hii. Nika Bwaga.
 
Umeongea kitu sahihi kabisa...Sasa mkuu ulivopiga chini ukaingia kwenye ishu zipi
 
Shekh kama unataka kujikita kwenye iyo biashara na namna naweza kuwa na msaada lakini sio wa ndani ya nchi.

Kama utaweza tafuta mashine ya kushonea iyo mifuko naweza kuongea na manufacturer tuletee roller kwa bei ya 2100 Usd uzito wa ton 1.

Au

Tulete kama mifuko kamili kwa kiasi cha 0.130 Usd kwa mmoja.
View attachment 1791605View attachment 1791606

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mashine za kushonea zinapatikana wapi?! Mi niko interested...
 
Back
Top Bottom