Biashara ya mbuzi

Yaani kaktika watu wavivu wewe ni namba moja. Uko Dar hujui hata masoko ya mbuzi yako wapi!
Itakuwa ngumu sana kusaidia mtu kama wewe.

Ili kukusaidia, fanya utafiti ujue kwa Dar soko olikoje ukisha pata jibu, njoo nitakuelekeza maeneo ambayo unaweza kununua mbuzi hadi kwa elf 15
jamaaa kazinguaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nji
Yaani ndugu yangu kuniambia tu meatu kuna mbuzi na bei ni kiasi hiki ulikuwa inatosha suala la kwamba nitakutumia pesa ili uninunulie sidhani kama ni wazo kwa mfanyabiashara na mtafiti kwangu Mimi ni muhumi kufika na kujionea hali halisi huku nikijufunza asante kwa ushirikiano
Njoo Dodoma Mpwapwa vijijin upate mbuzu 25-40 Bei murua kabisa
 
Habari za muda huu samahani wadau naomba kwa anayefahamu anisaidie taarifa zifuatazo ili kupambana na hali ya maisha badala ya kulalamika

Napenda kujua
-upatikanaji wa mbuzi hasa mikoani yaani mkoa gani una mbuzi wengi na bei za huko
-usafirishaji wake
-masoko yake kwa dar es salam
Mimi Niko dar es salaam tusaidiane wadau mawazo ya Biashara
nenda pale pugu mbuzi kibao kafanye upelelezi pale.
 
Sasa Mimi soko la Dar nitakusaidiaje? Tuma pesa huku kwetu MEATU nikununulie mbuzi mmoja unaweza kumpata kwa bei ya kati ya 30-50 elfu! Commission yangu itakuwa bei gani? usafiri ni fuso na bei ni mawelewano!
Meatu ipi ngosha, tindabuligi, bukundi mwambegwa, ng'wanhuzi au wapi baba
 
Wanajamii mambo vipi? Bila shaka mu wazima Sana. Niko hapa leo nikiomba kueleweshwa juu ya biashara ya kununua mbuzi kutoka mikoani na kuwaleta Dar.

Mara nyingi nimekuwa nikiona magari yakiingiza mbuzi mjini lakini hao watu Sina ukaribu Wala siwezi kuwakaribia coz wako katika movement ya magari.

Sasa naombeni wenye uzoefu kidogo kuhusu hili , faida, changamoto nk.

NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Yaani kaktika watu wavivu wewe ni namba moja. Uko Dar hujui hata masoko ya mbuzi yako wapi! Itakuwa ngumu sana kusaidia mtu kama wewe.

Ili kukusaidia, fanya utafiti ujue kwa Dar soko olikoje ukisha pata jibu, njoo nitakuelekeza maeneo ambayo unaweza kununua mbuzi hadi kwa elf 15
Kaka naomba unielekeze hiyo sehemu 0713429903
 
Wanajamii mambo vipi? Bila shaka mu wazima Sana. Niko hapa leo nikiomba kueleweshwa juu ya biashara ya kununua mbuzi kutoka mikoani na kuwaleta Dar.

Mara nyingi nimekuwa nikiona magari yakiingiza mbuzi mjini lakini hao watu Sina ukaribu Wala siwezi kuwakaribia coz wako katika movement ya magari.

Sasa naombeni wenye uzoefu kidogo kuhusu hili , faida, changamoto nk.

NATANGULIZA SHUKRANI.
Biashara hiyo inataka moyo,mbuzi wakifika sokoni wanakaa sana,waweza maliza wiki hapo,
 
Back
Top Bottom