Biashara ya mifugo hai

  • Thread starter Safari_ni_Safari
  • Start date

Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,232
Likes
7,103
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,232 7,103 280
Wadau,
Niko katika utafiti awali wa biashara hii(huswa Ng'ombe) na hivyo naomba wenye mawazo nayo wanisaidie tafadhali hususan katika nyanja hizi:

  1. Aina za ng'ombe wanaofaa
  2. Risks
  3. Ushindani na fitina za biashara hii
  4. Taratibu za kisheria
  5. Usafirishaji
  6. Masoko
Shukran
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
30,610
Likes
12,984
Points
280
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
30,610 12,984 280
Mi naona tu jamaa wananunua ng'ombe wembamba kwa wastani wa Tsh laki tatu,wanawanenepesha kwa mashudu kwa kipindi cha miezi mitatu,wanawapakia kwenye fuso kama ni idadi ya ng'ombe kama 15,au semi kama ni ng'ombe zaidi ya 20.wanawauza pugu mnadani au wanawapakia kwenda comoro kuuza.kwa hapo pugu ng'ombe uliemnunua kwa laki tatu,ukamnenepeshawaweza uza hadi laki nane au one milioni.
Gharama ya kumnenepesha ng'ombe mmoja hadi anenepe ni kama laki na nusu.
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,232
Likes
7,103
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,232 7,103 280
Mi naona tu jamaa wananunua ng'ombe wembamba kwa wastani wa Tsh laki tatu,wanawanenepesha kwa mashudu kwa kipindi cha miezi mitatu,wanawapakia kwenye fuso kama ni idadi ya ng'ombe kama 15,au semi kama ni ng'ombe zaidi ya 20.wanawauza pugu mnadani au wanawapakia kwenda comoro kuuza.kwa hapo pugu ng'ombe uliemnunua kwa laki tatu,ukamnenepeshawaweza uza hadi laki nane au one milioni.
Gharama ya kumnenepesha ng'ombe mmoja hadi anenepe ni kama laki na nusu.
Noted...
 
Forum statistics

Threads 1,272,334
Members 489,924
Posts 30,447,895