Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

Shinyanga na Tabora kuna mchele mzuri ingawa wengi wanaamini Mbeya zaidi.
Kizuri cha jiuza mkuu
Hilo si swala la imani ni ubora wa kitu
Ndio maana inaonekana Michele wa mbeya ni bora ata masoko ya dar ndio unanyanyasa si muonekano tu ata ladha yake iko tofauti na Michele ya kanda ya ziwa,pia una harufu nzuri sana
Asa ule unaotokea mbeya wilaya ya kyela ni noma
Ukiwa unapikwa lazima utokwe mate kwa ile harufu tehtehteh
 
Sasa hivi kuna mashine za Ku gred Mchele so habari za mawe Shinyanga hakuna ukifanyia greding unatoka vizuri sana sema msimu wa mwaka huu kanda ya ziwa yote haina mpunga kwa sababu kulikuwa hakuna mvua.


nimeenda nikaona hatar sana
 
Nami nahitaji kama utapata namba za wauzaji mpunga

Sent from my H1 using JamiiForums mobile app


mimi nakushauri funga safari ukaone mwenyewe, kuna sehemu nyingi sn wanauza mchele wa jumla mikoani, mbeya, nzega ,shinyanga, morogoro so angalia unataka kiasi gani na niwapi ni karibu kwa biahsara yako halafu funga safari....utakapofika pia utajifunza mambo mengi kuliko kupata habari nusu nusu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom