Biashara ya mchele kipindi cha novemba, 2012 na januari - machi, 2013

mmmh! majibu!

Eeh! Jamaa mkali kwa majibu utafikri katoka kumfumania mkewe!

Hivi nini inakuwa ngumu kuweka mambo wazi mpaka ulazimishie watu waingie kwenye internet? Kwa nini usitoe tu hata namba ya simu? Wa-TZ kila kitu ni kigumu sana sijui tutafika lini wachovu sisi?
 
Huyu si mfanyabiashara bali ni tapeli. Unauza mchele huku unaficha details muhimu?.
 
Huyu atakua na amehifadhi mchele akisubiri bei ipande.mwaka huu mchele ulishuka sana.kuna sehemu ulifika hadi 800 per kg.
Anaweka email ,si kila mtu ana mda wa kwenda intanetcafe,watu wanatumia mobile na nyingi hazina uwezo wa email.
Watu sikuhizi wanatumia alternative za inbox,kama fcbk
 
Back
Top Bottom