Biashara ya mbwa Tanzania inalipa sana

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Hii biashara inalipa sana kwa hapa tz garama za ufugaji siyo kubwa kama wanyama wengine, mwezi uliopita nilitoka na mbwa wangu mdogo kijijini nimemuuza juzi 80,000/=

Nafikiria kuanza rasmi kufuga mbwa wa biashara, ingawa nina uzoefu kidogo nilifuga zamani nikiwa mdogo kijijini najua mbwa unazaa mara 2 kwa mwaka watoto kati ya 6-12,

Nikianza na mbwa 6 baada ya miaka mitatu naweza kuwa na mbwa zaidi ya 800,

Baada ya hapo kila mwaka unauza wastani wa mbwa 9,600* @50,000(bei ya jumla) =480,000,000/= (sawa na milion 40 kwa mwezi, garama za chakula haizi milion 5 kwa mwezi ,

Utajihakikishia net 35,000,0000 kila mwezi (kiwango cha chini)

Karibuni sana wale wajasiriamali hii inalipa kuliko kuku, ngombe, mbuzi, na ile haramu
 
Mkuu kweli biashara ya kwenye karatasi ni tofauti kidogo na practical; sijajua vizuri hili soko lakini unless unawauzia wachina au watu wanaokula mbwa nadhani kutakuwa na ugumu fulani (sababu mbwa wa ulinzi lazima awe mkali, mbegu nzuri na amefundishwa)

Binafsi kipindi fulani nilikuwa na mbwa nikakosa hata mtu wa kuwapa bure matokeo yake nikawapa jamaa fulani lakini baada ya kuja kuona mateso wanayompa nilijuta kuwapa, alafu mwingine nikawapa matokeo yake akaja kurudi home baada ya siku na wale jamaa hawamtaki tena.

Ila kama kweli una soko la kuuza mbwa 800 kwa mwezi nakushauri endelea lakini fanya hii exclusive business yaani muwepo wachache mnaouza sababu mkiwa wengi supply itaongenzeka demand itapungua, nadhani kabla hatujaanza kuwafanya mbwa chakula kuna ugumu fulani wa kuwauza.
 
Mh! i doubt this sismplisity.hivi kweli ndo biashara ilivyo rahisi hivyo? cjui kaka. ckubishii mkuu.endeleatu.
 
Mbwa walio na soko ni Germany Sherphered, mbwa mmoja wa miez miwili laki 3!ila kumtunza ni zaidi ya familia!anakula kama binadam!uki mis handle anakufa!si rahis hivyo mkuu!
 
Mkuu kweli biashara ya kwenye karatasi ni tofauti kidogo na practical....; sijajua vizuri hili soko lakini unless unawauzia wachina au watu wanaokula mbwa nadhani kutakuwa na ugumu fulani (sababu mbwa wa ulinzi lazima awe mkali, mbegu nzuri na amefundishwa)

Binafsi kipindi fulani nilikuwa na mbwa nikakosa hata mtu wa kuwapa bure matokeo yake nikawapa jamaa fulani lakini baada ya kuja kuona mateso wanayompa nilijuta kuwapa..., alafu mwingine nikawapa matokeo yake akaja kurudi home baada ya siku na wale jamaa hawamtaki tena...

Ila kama kweli una soko la kuuza mbwa 800 kwa mwezi nakushauri endelea lakini fanya hii exclusive business yaani muwepo wachache mnaouza sababu mkiwa wengi supply itaongenzeka demand itapungua... nadhani kabla hatujaanza kuwafanya mbwa chakula kuna ugumu fulani wa kuwauza...

Mkuu VOR nimekupata vizuri nipo knye reserch ya kuangaia soko kwanza, (soko la ndani na soko la nje) mafunzo siyo issue sana
 
mh! i doubt this sismplisity.hivi kweli ndo biashara ilivyo rahisi hivyo??
cjui kaka. ckubishii mkuu.endeleatu.

maisha siyo magumu kiivyo mkuu wangu, huyo mmoja wa miezi 2 nilimuuza 80,000/= akaniambia alitaka kama 10 au 20 sikuwa na uwezo wa kupata wengine, nampango wa kumtafuta anipe ramani ya soko anapouzia niweze kukava soko vizuri
 
mbwa walio na soko ni Germany sherpher,mbwa mmoja wa miez miwili laki 3!ila kumtunza ni zaidi ya familia!anakula kama binadam!uki mis handle anakufa!si rahis hivyo mkuu!

Parachichi mbwa ni bwa tu huyo niliyemseli alikuwa akila maparachichi kwa sana na hakufa
 
Back
Top Bottom