Biashara ya maziwa mtindi na fresh

Hoja yako hawataki kutaja wanaponunua huo mtindi na kuja kuuza hapo, hoja yako selikali haina taarifa na hilo au kuna lingine , sasa nakuambia hivi mm najua wanapotoa huo mtindi kwa kuwa hujakuja kistarabu nakuacha kama ulivyo na uzuzu wako.
 
Kuna wimbi kubwa sana la wauza maziwa mtindi na fresh limezukia maeneo ya ubungo river side (mandela road) wale wafanya biashara yale maziwa ni mengi sana na kila siku yapo sijui yanatolewa wapi.

Kinachoniumiza ninefanya resech hao jamaa yale maziwa wanaletewa kutoka vijijini na hawa wanaoleta hayo maziwa hawataki hao wanunuzi wajue soko (huko yanakotolewa) wao wanaleta maziwa na ndoo na ( hapa inategemea wewe mteja unataka ndoo ngapi)wanakuachia ndoo au wanakumiminia wanadudi na ndoo zao wee unatoa hela.

Ndoo kubwa mtindi ni 38 hadi 40 elfu ndoo ndogo ni 18 hadi 22 elfu.hao wauzaji hawana cha kibali cha afya wala leseni mamlaka ya dawa na chakula (TFDA) wa leseni ya serikali ya kulioa kodi TRA hapa sijui siku itatokea maafa au watu kuumwa matumbo serikali sijui itaanzia wapi na serikali yenyewe inakosa maoato maana hii biashara mzigo unaoshushwa pale ni zaidi ya ndoo 2000 kwa siku na ndani ya masaa 4 mzigo umeisha maana hawa wanunuzi wadogo wadogo wanatoka sehemu mbali mbali.

Maziwa yanaletwa alfajiri saa tisa mpaka saa moja kasoro maziwa yameisha.
Mamlaka husika fuatilieni hili hiki ni chanzo kingine cha mapato mnakipoteza.
Wewe umeshindwa kujiajiri? Lione!
 
mim binafs naonaga kama hayagandi vizuri yan yanakua na umaj ma mwing tofaut na haya ya tangwa na kimnjaro yankua maztoo na mabuja yale ukitia sukar yanakua matam
 
Kuna miaka nilikua nasafiri kigoma-Dar, Dar-Kigoma. Pale Uvinza stand wanamama wanauza maziwa mgando kwenye chupa ya maji. Ni biashara ila binafsi hata kama nina njaa kiasi gani kunywa mtindi, juice blended kwenye machupa nk nk vimenipita kushoto😰😰
 
Kuna miaka nilikua nasafiri kigoma-Dar, Dar-Kigoma. Pale Uvinza stand wanamama wanauza maziwa mgando kwenye chupa ya maji. Ni biashara ila binafsi hata kama nina njaa kiasi gani kunywa mtindi, juice blended kwenye machupa nk nk vimenipita kushoto
wadau wale wana tbs za matumbo.safarin ukavamie mtindi aisee.au pale ruafe ukiwa unatoboa mpanda.au pale lyazumbi kuna mishkak
 
Kuna wimbi kubwa sana la wauza maziwa mtindi na fresh limezukia maeneo ya ubungo river side (mandela road) wale wafanya biashara yale maziwa ni mengi sana na kila siku yapo sijui yanatolewa wapi.

Kinachoniumiza ninefanya resech hao jamaa yale maziwa wanaletewa kutoka vijijini na hawa wanaoleta hayo maziwa hawataki hao wanunuzi wajue soko (huko yanakotolewa) wao wanaleta maziwa na ndoo na ( hapa inategemea wewe mteja unataka ndoo ngapi)wanakuachia ndoo au wanakumiminia wanadudi na ndoo zao wee unatoa hela.

Ndoo kubwa mtindi ni 38 hadi 40 elfu ndoo ndogo ni 18 hadi 22 elfu.hao wauzaji hawana cha kibali cha afya wala leseni mamlaka ya dawa na chakula (TFDA) wa leseni ya serikali ya kulioa kodi TRA hapa sijui siku itatokea maafa au watu kuumwa matumbo serikali sijui itaanzia wapi na serikali yenyewe inakosa maoato maana hii biashara mzigo unaoshushwa pale ni zaidi ya ndoo 2000 kwa siku na ndani ya masaa 4 mzigo umeisha maana hawa wanunuzi wadogo wadogo wanatoka sehemu mbali mbali.

Maziwa yanaletwa alfajiri saa tisa mpaka saa moja kasoro maziwa yameisha.
Mamlaka husika fuatilieni hili hiki ni chanzo kingine cha mapato mnakipoteza.
acha uchawi wewe fuga na wewe ng'ombe.Serikali haijafikia hatua ya wakulima na wafugaji kutozwa kodi
 
Serikali ya Samia ni wakati muafaka sasa kuirudisha TFDA maana TBS imeshindwa kusimamia masuala mazima ya ukaguzi na udhibiti wa ubora wa chakula na vipodozi nchini.

Hivyo kuhatarisha afya za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kila kitu hakikamatiki wacha wa Tanganyika wale maziwa kidogo
 
Back
Top Bottom