Msaada: Biashara ya maji

kdany

Senior Member
Jul 20, 2012
149
25
Wakuu habari,
Naomba ushauri juu ya biashara ya maji ya uhai(chupa)na maji ya viroba ya Tsh.100.

Changamoto ni zipi na maeneo gani ambayo naweza fanya biashara hii.
Natanguliza shukrani.
 
Wakuu, heshima mbele na poleni na majukumu.

Nilikuwa nauliza kwa yoyote mwenye kujua jee kama nataka kufungua kampuni ya kutengeneza maji ya chupa natakiwa kuwa na leseni za aina gani? Jee natakiwa Tanzania Food and Drug Administration wanipe leseni.

Nataka kufungua biashara ya Maji Dar, nafahamu the competition is high, lakini nina business strategy ambayo nita appeal on different consumer niche ambayo nita jisegrigate hata na Kilimanjaro.

Please help.
 
try to create an appealing brand name .... utatoka

watu wanakunywa maji kwa majina
 
Nazani ni TBS ndo wanahusika ila process ya kupata rebo yao, inachukua muda mrefu sana i ishu ya mwezi, inaweza chukua hata mwaka na zaidi, make wanavigezo vyao vya kutumi kabla ya kukupa rebo, Ila nazani unaweza go aheda bila TBS kwa muda huo wa kusubilia rebo yao
 
Wasaalam,

Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, naomba kujua mchanganuo wa biashara ya maji ya kunywa kwa kampuni za Azam, Sayona, Safi, Kilimanjaro n.k katika mambo yafatayo:-
  1. Bei za katoni za kuchukulia kwenye viwanda au kwa mawakala wa viwanda ivyo.
  2. Bei ya kuuzia kwa jumla mtaani au mahala ambapo tafungua biashara yangu iyo
  3. Mtaji kiasi gani (minimum) ambao taweza kufanikisha biashara yangu hii
  4. Kodi tra kwa biashara kama hii
  5. Taratibu zozote za kisheria ambazo natakiwa kufuata kufanikisha biashara hii, ili kuondoa mzozo na utawala wa kipindi hiki.
NB: Mtaji wangu ni milioni 2 tu , Maji ya ujazo wa aina zote
kama kuna mawakala wa kampuni husika nawakaribisha PM
Naomba kuwasilisha.
 
jamani nipo serious na biashara hii wajuzi wa mambo nipeni maarifa
 
Habari wadau naomba kujua mtaji kima cha chini cha kuanzisha bei biashara ya maji iwe ya aina moja ya kampuni au aina tofauti.
Nashukuru sana
 
Habari,
Natafuta MTALAAM anayejua vizuri namna ya kuanzisha biashara ya maji ya chupa hususania masuala ya mitambo na mashine zinazotakiwa na zinapatikana. Aidha, anaweza kutusaidia kutengeneza feasibility study. Tunaweza kuwasiliana 0753 125 474 email: kwanamas@yahoo.com
 
Wasaalam,

Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, naomba kujua mchanganuo wa biashara ya maji ya kunywa kwa kampuni za Azam, Sayona, Safi, Kilimanjaro n.k katika mambo yafatayo:-
  1. Bei za katoni za kuchukulia kwenye viwanda au kwa mawakala wa viwanda ivyo.
  2. Bei ya kuuzia kwa jumla mtaani au mahala ambapo tafungua biashara yangu iyo
  3. Mtaji kiasi gani (minimum) ambao taweza kufanikisha biashara yangu hii
  4. Kodi tra kwa biashara kama hii
  5. Taratibu zozote za kisheria ambazo natakiwa kufuata kufanikisha biashara hii, ili kuondoa mzozo na utawala wa kipindi hiki.
NB: Mtaji wangu ni milioni 2 tu , Maji ya ujazo wa aina zote
kama kuna mawakala wa kampuni husika nawakaribisha PM
Naomba kuwasilisha.
Naomba tuwasiliane kupitia hapa kiongozi 0742021843/0673235249
 
Habari ya asubuhi wana great thinkers.

Mimi nina wazo la kujiajiri mwenyewe kupitia biashara ya kuuza maji safi yaani nanunua maji na kuyahifadhi kwenye tank na kuuza kwa rejareja so ni mgeni kwenye hii biashara kwaiyo naombeni mwongozo wa kuweza kufanikisha hii biashara kuhusu maswala ya vibali na mambo mengine.

Nawasilisha.
 
Ndg habari zenu,naomba msaada was maelezo juu ya uanzishaji wa biashara ya maji packed.eneo ninalo pia Nina chanzo cha uhakika cha maji safi na salaam.
 
Back
Top Bottom