Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,515
- 766
Sikulima mwenyewe tupo kikundiDuhh Tani 5 halafu unasema kuwa hapo ndio ulilima kwa changamoto! !!
Mkuu si mihela hiyo? ...
Uko mkoa gani mkuu ? Jaribu kwenda katika masoko makuu ya mkoa ambao upo kisha watafute madalali Bila Shaka wataweza kutatua Tija yako