Biashara ya mafuta ya alizeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya mafuta ya alizeti

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tricker, Nov 26, 2010.

 1. T

  Tricker Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wadau naomba wenye data kuhusu biashara ya mafuta ya alizeti wanijuze.
  The following should b included.
  1.upatikanaji wake i.e location
  2.Market yake kwa hapa Dar
  3.Profit margin ikoje
  Thanx waheshimiwa
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Mbeya,iringa na singida ilo zao linalimwa kwa wingi
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Kwa mara ya mwisho bei ya lita 20 pale Mtinko Singida ilikuwa Tsh 31,000/ na wakati huo huo pale Tabata Shule walikuwa wanauza bei ya jumla Tsh 38,000/ kwa lita 20. Sijui usafiri ni kiasi gani.

  Kama unajua hesabu za biashara basi kuanzia hapo unaweza kupiga mwenyewe, hiyo ilikuwa august mwaka huu.
   
 4. m

  msambaru JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 231
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mafuta ya alizeti toka singida mtinko, ilongero, iguguno na hata hapa mjini ni Ths. 60,000 kwa lita 20 sawa na 3000 @ lita. kama vipi nicheki
   
Loading...