Biashara ya madini Arusha

Enno Temba

Member
Sep 30, 2015
30
6
Poleni na majukumu, bila shaka mu wazima wa afya na mnaliendeleza gurudumu la maendeleo huko mlipo.
Leo nimekuja hapa kutaka kujifunza kutoka kwenu kuhusu biashara ya madini hususani katika jiji la arusha ambalo ndo nitajikita zaidi humo.

Sambamba na hilo pia naomba msaada wa bei za madini yafuatayo katika soka la arusha:
️Garnet
️Ruby
️Green tomali
️Dhahabu

Natanguliza shukrani zangu kwa wote mtakaochangia katika uzi huu.
 
hiyo garnet,ruby,tormaline hazina bei fixed inatokana na jiwe lako kwanzia color,clarity,carat ngap ....dhahabu kwa standard na soko la tz ni kwanzia elfu sitini hadi themanini per gram ikitegemea quality ya dhahabu yako
 
Shukran mkuu nimekupata vizuri ila ungenifahamisha tu bei zake huwa zinarange shg ngapi hadi shingi ngap (garnet, ruby, tormaline)
 
Ukiwa na million mbili unaweza kufanya hii biashara mkuu
 
Ha ha ha ha ha
Nko maji mm 24/7 nko high labda kama kuna mipango ya kazi ndy sinywi

Ova
20181102_195148.jpg
 
Shukran mkuu nimekupata vizuri ila ungenifahamisha tu bei zake huwa zinarange shg ngapi hadi shingi ngap (garnet, ruby, tormaline)
kuna makoro ambayo yameungua na moto wa baruti haya kwanzia elfu 30 mpaka laki moja nausheee....ila ukikutana na tanzanite grade aaa .... carat moja ni kwanzia laki 6 hadi 1.4mln hapo ukikutana na super dealer mzuri ila mabroker ndo watakupa hela ndogo
 
Dm namba yako tuongee vizuri mkuu
 
Kwa sasa haya mawe yanauzika vipi? Na je yanauzwa kwa kilo au gram? Msaada tafadhali. Natanguliza shukrani
 
Biashara ya madini sijawahi kuifanya ila naiwaza mno kwa utafiti niliofanya maeneo machache hii biashara haina base line bei inapanda na kushuka mda wowote na taarifa za leo hazina maana kesho ama mwezi ujao.

Hata alieko kwenye game ya madini kuna baadhi ya vitu vingi sana havijui na havifanyi wala kujihusisha navyo yeye amemaster upande fulani tu japo anafahamu kidogo kiasi upande mwingine lakini kamwe hajiusishi nao hata kama una faida yeye ana deal na upande wake.

Ukiwa mgeni kwenye hii biashara ni hasara tayari... ukitaka kufanikiwa usitafute mtaji tafuta maarifa kwanza jitahidi uwekeze muda wako mwingi zaidi kuliko pesa ....ukifanikisha usiache leta mrejesho.
 
Back
Top Bottom