beyond ur limit
Member
- Apr 9, 2013
- 16
- 2
Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni brand zipi bora,?