Biashara ya kuweka nyimbo kwenye simu + haki za wanamuziki + sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kuweka nyimbo kwenye simu + haki za wanamuziki + sheria

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Penguin-1, Jun 24, 2012.

 1. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari Wadau,
  Kuna jamaa yangu yupo mbali sana anataka kuanzisha biashara hizi za kuweka nyimbo kwenye simu(i believe kwa cable/bluetooth) ,amepata computer na ana miziki mingi ya nje na mingi mikali ya bongo fleva inayo hit kwa sasa.

  Swali lake la msingi ,anauliza haswa kwa miziki ya bongo fleva ,je atakuwa anavunja sheria ya haki miliki?

  na je nini anaweza kufanya ili asije vunja sheria?(kama itakuwa inaonekana anavunja)

  Binafsi najua hizi biashara zinafanyika sana ,lakini sijui kuhusu uhalali wake.Ndio maana nimeshindwa kumpa jibu la moja kwa moja.

  mwenye hizi taarifa anijuze ,niwasilishe kwa jamaa.(na kwa faida ya wasiojua)
   
 2. G

  GTesha JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acheni wizi
   
 3. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sikujua kuwa ukiuliza unakuwa mwizi
  khe!
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  ndio umejibu swali hapo?
   
 5. angedizzle

  angedizzle JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 560
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  hamna sheria ya hakimiliki bongo,cosota wamelala.........,piga pesa ndugu wakija kushtuka ni ........baadae sana
   
 6. G

  GTesha JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we unaonaje mkuu?
   
 7. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mawazo zaidi kwa anayefahamu tafadhali
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ni kosa kisheria kunakili kazi yoyote ya kisanii kwa namna yoyte ile bila kupata kibali kutoka kwa kampuni au msanii husika.
   
 9. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mimi si mfuatiliaji mzuri wa blahblah za bungeni lakini kama nimesikia bunge hili ltapitisha hayo masuala ya hakimiliki. Na sheri itaanza kutumika january next year. Wanafatilia watujuze. Kwa nionnavyo huyo jamaa na aanzishe tu na hapo sheria itakapofanya kazi yake ataangalia channel za kupitia kuhalalisha. Kwa sasa watu kibao wanakula hela kwa wizi huo ambao bado unaonekana ni kama halali
   
 10. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  Piga mzigo kijana wakija waanze na wewe, kutokujua sheria sio kunusurika kufungwa. wewe andaa kama ka 1m ka kuonga c unajua bongo yetu. au piga za nje tu maana za vijana hawa wanaweza kuleta ngebe ukakosa ukwanja
   
 11. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hili ndo jibu
   
 12. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  amaomba ushauri wewe unakurupuka tu 'acheni wizi' kuwa na hekima angalau kidogo ili uheshimike...sio lazima kila thread nawe uandike kitu!
   
 13. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mawazo mazuri..Binafsi nitamshauri jamaa aweke za nje tu...
  Za ndani kwa kweli sio fair hata kidogo....
  niwashuru woooote!.
  ova!.
   
Loading...