Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

Ignorant

Member
Mar 9, 2008
27
6
Nimeamua kujikita katika biashara ya mboga mboga kama vile pilipili hoho, karoti na mboga za majani etc. Ningefurahi sana kufanya biashara na soko la Ulaya.

Natambua kua soko la ulaya linahitaji standards za juu, consistency, pamoja na discipline na nafurahi kusema kwamba nimejiandaa kwa hilo. Hata hivyo ombi langu ni kuunganishwa na masoko (wanunuzi) hata kama itanipasa kusafirisha mimi mwenyewe. Cha msingi ni kua na uhakika wa mahali pa kuuzia (itahusisha uhakika wa bei na kiwango cha kuzalisha).

Pia kama kuna mzoefu wa biashara hii anaweza kushare uzoefu wake.
Natanguliza shukrani

Soko la kuuza mboga na matunda nje lipo. Unachotakiwa kukifanya ili upate soko la uhakika na bei bora ni lazima ulime kilimo cha organic (naomba msaada neno la kiswahili).

Tayari lipo shirika hapa nchini linalofundisha na kukagua mashamba ya organic, kama kilimo chako kikipasishwa kuwa ni cha organic utapatiwa cheti kinachotambulika kimataifa, ambacho kitakuwezesha kuuza nchi za ulaya bila ya matatizo.

Unaweza kuwaona hapa:-

Welcome to TanCert

MKUU KUHUSU BIASHARA YA MBOGA NI NZURI SANA BUTI LAZIMA UWE UMEJIPANGA VYA KUTOSHA,

1. Kama utazalishia arusha na kuuza Dar ni lazima uwe na magari ya freezer au usafirishe kwa ndege make kwa sem trela mboga ziatozea njiani

2. Kuhusu Duka Yapu unaweza kuwa na Duka lako mithili ya Supermarket ila ni lazima liwe kubwa na liwe location nzuri na ni lazima uwalenge watu fulani au kundi fulani

3. Kuhusu bei mimi si dhani kuna haja tena ya kupanga mafungu mkuu hapa unatakiwa kuzi park kwenye mifuko maalumu kabisa

4. Kuhusu kununua matunda kwa wakulima na kuya grade hapo itakuwa ngumu mkuu, kama umedhailia kuzalisha bila kutumia chemical hayo matunda ya kutoka kwa watu wengine si yatakua yamezalishwa na chemical?

5. Na nakushauri kwa kuanza usauply kwenye supermarket then ukipata mtaji wa kutosha fungua supermarket yako itakayo kuwa inauza mboga na matunda labuda na vyakula vingine tu

MKUU HAYO YA LESENI NAKUSHAURI UWAONE WAHUSIKA MAKE ZINATOLEWA BILA MALIPO
 
Naona wenzetu Wakenya walishashupalia hili soko kwa muda mrefu. Wana viwanda vya packaging kwa standard zinazokubalika, kwa hiyo inawezekana kabisa. All the best.
 
London kuna masoko ya jumla ambayo niliwahi kupita huko, yanauza kila aina ya mboga/matunda/maua nk, soko moja lipo karibu na Heathrow Airport, West London; website yao ni hii nadhani utapata info kibao na contacts za wholesalers Western International Market
soko lingine kama hilo lipo maeneo ya Leyton East London wesite

New Spitalfields Market

Jaribu kupekua humo waweza kupata pa kuanzia (contacts).
Ushauri mwengine ni kua usafiri ukutane na wafanya biashara kuna maduka makubwa kama "Blue Mountain" Harlesden - Northeast London, hawa jamaa ni wahindi asili ya afrika mashariki (wanavuruga kiswahili kidogo), hawa wanauza mpaka Unga wa ugali wa Bakharesa, mawese, mchicha, mihogo, mashelisheli na n.k

weblink: Blue Mountain Peak, 2A-8 Craven Park Road, London - Supermarkets near Harlesden Tube Station
Nakutakia mafanikio.
 
Tena maeneo mazuri sana ya kulima mboga na kuziuza ktk soko la nje. Kuna jamaa alikuwa na hoho/paprica pale Mkuranga na alikuwa anauza kwa Waholanzi,nitampitia, na kama atakuwa muungwana basi nitarudi na jibu hasa kuhusu soko. Kilolo kule Iringa walikuwa wanalima Paprika mpaka mwaka jana,wale wanunuaji walikuwa Wageni,nadhani kuna haja ya kuwafuatilia zaidi.
 
Soko la kuuza mboga na matunda nje lipo. Unachotakiwa kukifanya ili upate soko la uhakika na bei bora ni lazima ulime kilimo cha organic (naomba msaada neno la kiswahili).

Tayari lipo shirika hapa nchini linalofundisha na kukagua mashamba ya organic, kama kilimo chako kikipasishwa kuwa ni cha organic utapatiwa cheti kinachotambulika kimataifa, ambacho kitakuwezesha kuuza nchi za ulaya bila ya matatizo.

Unaweza kuwaona hapa:-

Welcome to TanCert
 
Wazo zuri ulilonalo mkuu, mimi hapa nimetangatanga vibaya mno kwenda kutafuta pilipili mbusi ambayo haiko kwenye kopo, ndizu mzuzu na uganda, na vegetables zingine za kiafrica, nashukuru Mungu nilipata maduka fulani ya african foods, .....ni garama kuliko hata bidhaa ambazo ni processed...nafikiri utaweza fanikiwa sana kama ukizamilia.
 
Soko la kuuza mboga na matunda nje lipo. Unachotakiwa kukifanya ili upate soko la uhakika na bei bora ni lazima ulime kilimo cha organic (naomba msaada neno la kiswahili).

Tayari lipo shirika hapa nchini linalofundisha na kukagua mashamba ya organic, kama kilimo chako kikipasishwa kuwa ni cha organic utapatiwa cheti kinachotambulika kimataifa, ambacho kitakuwezesha kuuza nchi za ulaya bila ya matatizo.

Unaweza kuwaona hapa:-

Welcome to TanCert

Ni kilimo hai kwa kiswahili.
 
Ahsanteni wajumbe kwa michango yenu. Naendelea kuifanyia kazi na nitawataarifu mwisho wake. Hata hivyo msisite kuendelea kuchangia
 
Wazo ni zuri sana. Mimi ningeanza kama dalali ambapo ningenunua mboga mboga hizi toka kwa wakulima ambao wako organic. Mkakati kama huu utasaidia kujifunza challanges wa soko wa Ulaya, na pindi unaoplimaster unaweza kuingia kwenye ukulima wewe mwenyewe huku ukifungua center za kununua toka kwa wakulima wengine. Kila la kheri bro!
 
Habari wana JF.

Poleni kwa majukumu ya kila siku.

Najitokeza kwenu ninyi kuomba mchanganua wa mawazo. Ndugu yenu nina plani kuanzisha biashara ya mbogamboga na matunda,lengo langu ni kufungua duka hapa hapa Dar. Ila uzalishaji wa bidhaa nimeplani kuweka Arusha.

Tayari nina mtaji wa kutosha ingawa juu ya biashara hii nimepanga kuweka mtaji wa kati ya tsh30,000,000-tsh50,000,000.
Naomba nieleweke,hapa nahitaji mawazo kujua kama biashara hii italipa,na wapi niweke hilo duka,ikiwezekana hata nijue bei ya fungu 1 la mboga naweza uzaje kutegemea na ubora wa mboga zangu (very high quality), ninauhakika wa kuzalisha mboga yenye ubora wa 90-100% na isiyotumia kemikali ya aina yoyote.

Kuhusu matunda ntakua nayakusanya kwa wakulima vijijini na kuyapanga katika gredi stahiki. Kwa hayo machache nategemea ushauri wenye tija.

Naomba kuwakilisha wakuu:
 
Pia ningependa kufahamu na gharama za pango la duka kutegemea na saizi au ukubwa wa duka na eneo lilipo.
Pia gharama za leseni na vibali,wafanyakazi.
 
MKUU KUHUSU BIASHARA YA MBOGA NI NZURI SANA BUTI LAZIMA UWE UMEJIPANGA VYA KUTOSHA,

1. Kama utazalishia arusha na kuuza Dar ni lazima uwe na magari ya freezer au usafirishe kwa ndege make kwa sem trela mboga ziatozea njiani

2. Kuhusu Duka Yapu unaweza kuwa na Duka lako mithili ya Supermarket ila ni lazima liwe kubwa na liwe location nzuri na ni lazima uwalenge watu fulani au kundi fulani

3. Kuhusu bei mimi si dhani kuna haja tena ya kupanga mafungu mkuu hapa unatakiwa kuzi park kwenye mifuko maalumu kabisa

4. Kuhusu kununua matunda kwa wakulima na kuya grade hapo itakuwa ngumu mkuu, kama umedhailia kuzalisha bila kutumia chemical hayo matunda ya kutoka kwa watu wengine si yatakua yamezalishwa na chemical?

5. Na nakushauri kwa kuanza usauply kwenye supermarket then ukipata mtaji wa kutosha fungua supermarket yako itakayo kuwa inauza mboga na matunda labuda na vyakula vingine tu

MKUU HAYO YA LESENI NAKUSHAURI UWAONE WAHUSIKA MAKE ZINATOLEWA BILA MALIPO
 
Nimekuelewa mkuu.
Ofcourse duka linatakiwa kua kumbwa mithili ya supermarket,kuhusu bei nadhani ntafanya kama ulivyonishauri regarding to use good parking kwenye mifuko,hapa nadhani itanibidi nipeleke special order kiwandani kwa ajiri ya kuprint mifuko yenye nembo yangu.About capital kama nilivyosema ninampango wa ku-invest about 30mil-50mil.
Pale maeneo ya sinza vipi mkuu?
Panafaa kwa biashara hii?
 
niko ARUSHA MKUU, UNATAKIWA KUWA NA VITU KAMA HIVI
Retail_Tray_Packs-Web.jpg

vegetables-wrapped-in-plastic.jpg

erp_p&p-4.jpg

vegetable-packing-bag.jpg

Ahsante sana mkuu,M/mungu akubaliki kwa wema wako.
Sasa parking hii inabidi ntafute japo mtaalamu 1 wa mambo ya parking,jee tanzania tunao watu wenye sifa za parking ya namna hii?na hii kamuni ipo hapa tz au nje ya tz?
 
Habari wana jf.
Poleni kwa majukumu ya kila siku.
Najitokeza kwenu ninyi kuomba mchanganua wa mawazo.
Ndugu yenu nina plani kuanzisha biashara ya mbogamboga na matunda,lengo langu ni kufungua duka hapa hapa Dar.
Ila uzalishaji wa bidhaa nimeplani kuweka Arusha.
Tayari nina mtaji wa kutosha ingawa juu ya biashara hii nimepanga kuweka mtaji wa kati ya tsh30,000,000-tsh50,000,000.
Naomba nieleweke,hapa nahitaji mawazo kujua kama biashara hii italipa,na wapi niweke hilo duka,ikiwezekana hata nijue bei ya fungu 1 la mboga naweza uzaje kutegemea na ubora wa mboga zangu(very high quality)
,ninauhakika wa kuzalisha mboga yenye ubora wa 90-100% na isiyotumia kemikali ya aina yoyote.
Kuhusu matunda ntakua nayakusanya kwa wakulima vijijini na kuyapanga katika gredi stahiki.

Kwa hayo machache nategemea ushauri wenye tija.

Naomba kuwakilisha wakuu:
Mkuu malila naomba unisaidie juu ya hili kaka!!!!!
 
Back
Top Bottom