Biashara ya kuuza gesi ya kupikia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kuuza gesi ya kupikia

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LexAid, Jul 11, 2011.

 1. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wanajamii, naomba msaada kwa mtu yoyote anaijua kwa undani biashara ya kuuza gesi ya kupikia kama vile Oryx anieleze kuhusu faida au asara yake na ni makadirio ya mtaji wa kiasi gani unahitajika, mategemeo ya return ni muda gani. Asante ya awali.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Piga kwa 0754502007 utapata majibu ya maswali yako yote.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Tuelezeni ili tujue jamani.
   
 4. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  huo ni uchoyo!
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hapo nilipomwelekeza ni kwa mtu anayejua biashara hiyo na anaifanya kwa muda sasa, kwa hiyo isingekuwa busara kutoa maelezo yasiyojitosheleza wakati kuna mtu anaweza kutoa majibu na uzoefu wa kazi hiyo bure, sasa uchoyo hapo uko wapi? Ningesema anipe PM ingekuwa sawa kuita uchoyo, lakini nimeweka simu wazi kwa ye yote anayetaka apige na apate jibu.

  Kama nimekosea nisamehe bure.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  very gentle ... i love this type of attitude

  ulitakiwa kuwa muuguzi
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu,
  Nilishafanya kazi hiyo huko Maweni Kigoma, mambo ya maslahi yalinikimbiza huko !!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kaka nimekupata vema!
   
 9. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu, nimeipata hiyo namba na nitawasiliana nae na nitafanya research zaidi. Na ninahaidi kuwa chochote nitakchukipata kuhusu hili nitawasilisha kwa wanajamii.
   
 10. serio

  serio JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2014
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  tunaomba feedback
   
 11. Zyamwelele

  Zyamwelele JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2014
  Joined: Aug 5, 2013
  Messages: 402
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni biashara nzuri ila kama una mtaji mdogo na huna biashara nyingine sikushauri kuifanya!

  Kwasababu' mzunguko wake ni kawaida sana, hata ukawa sehem ambayo ni hot sana huwezi kufanya maajabu ukamaintain kuuza wastani wa mitungi kumi kila siku!

  Unavyoanza unatakiwa kununua mitungi tupu' hivyo unatakiwa utenge pesa mara mbili yaani ya mitungi na ya gasi. Na bei ya mitungi tupu inakaribiana na bei ya gesi kwa kiasi fulani.

  Faida zake ni ndogo ukilinganisha na mtaji unaoweka katika kila mtungi' kama sijakosea faida zake zinarange 2000~ 6000 kutegemeana na size ya mtungi' hivyo ili kupata faida ya kutosha inahitaji mzunguko mkubwa na uwe na mitungi ya kila size ili usimkose mteja yeyote.
   
 12. serio

  serio JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2014
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  noted with thanks
   
Loading...