Doltyne
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 440
- 170
Habari wana JF, ninatarajia kuanzisha biashara ya kuuza barafu (ice cubes) na kuuza kwa kilo. Sasa nastruggle kupata location itakayoendana na biashara yangu. Mchakato mzima uko hivi.

1: natarajia niwe natengeneza kilo 800 (mia nane) za barafu kwa siku. Natarajia kuziuza zote kwa order au random. Kilo moja ntauza sh 1500, hii ni ice cubes na mifuko yake ya kupack.

2: umeme ntatumia wa generator kwani machine inakula umeme mkubwa, na nina generator ya 11kva tayari. Generator hii itakuwa ni back up tu, tanesco ntaendelea nao kama kawaida pale watakapojisikia kutupa huduma.

3: maji ya ice maker yatakuwa yanatoka kisimani. So nachimba kisima kimoja tu kwa kazi hii. Na yatakuwa sio tatizo.

Naombeni msaada wa location, niiweke wapi hii biashara, nifanyie site mbali na watu halaf nitarget orders, au niwe na frame sehemu. Uwezo wa kuhifadhi barafu zisiyeyuke ninao bila kutumia umeme wala jokofu. Pia kama kuna anyeweza kuspot threat na risk za biashara hii aniambie ili niweze kuresolve mapema.
Challenges nk ni zipi mbali na nilizonazo mimi kichwani.

Nb: unapotoa mchango tafadhali be frank and sincere kwasababu hii ni biashara ya 48m investment.

Shukran sana ndugu.