Biashara ya kuuza Barafu (ice cubes), msaada location

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Habari wana JF, ninatarajia kuanzisha biashara ya kuuza barafu (ice cubes) na kuuza kwa kilo. Sasa nastruggle kupata location itakayoendana na biashara yangu. Mchakato mzima uko hivi.

1: natarajia niwe natengeneza kilo 800 (mia nane) za barafu kwa siku. Natarajia kuziuza zote kwa order au random. Kilo moja ntauza sh 1500, hii ni ice cubes na mifuko yake ya kupack.

2: umeme ntatumia wa generator kwani machine inakula umeme mkubwa, na nina generator ya 11kva tayari. Generator hii itakuwa ni back up tu, tanesco ntaendelea nao kama kawaida pale watakapojisikia kutupa huduma.

3: maji ya ice maker yatakuwa yanatoka kisimani. So nachimba kisima kimoja tu kwa kazi hii. Na yatakuwa sio tatizo.

Naombeni msaada wa location, niiweke wapi hii biashara, nifanyie site mbali na watu halaf nitarget orders, au niwe na frame sehemu. Uwezo wa kuhifadhi barafu zisiyeyuke ninao bila kutumia umeme wala jokofu. Pia kama kuna anyeweza kuspot threat na risk za biashara hii aniambie ili niweze kuresolve mapema.

Challenges nk ni zipi mbali na nilizonazo mimi kichwani.

Nb: unapotoa mchango tafadhali be frank and sincere kwasababu hii ni biashara ya 48m investment.

Shukran sana ndugu.

Selling Ice to Eskimos.... Anyway Joking aside nadhani cha muhimu ni kuangalia wateja wako wapo wapi na kuwa nao karibu sababu in the long run hii itakusaidia kwenye kupunguza cost ya transport na itasaidia wateja kukufikia kwa urahisi.

Kwahio mkuu walengwa wako wapo wapi ? Na kama haujajua walipo unaweza kuangalia watu wanaofanya hii biashara wapo sana sehemu gani (hii ni indication kwamba sehemu hio kuna wateja), baada ya hapo ni wewe kufungua karibu na hapo na kutoa huduma bora / bei ya chini kuliko competition, (kama uwezo unao) hence wateja wao kuhamia kwako.

Njia nyingine bora zaidi ni kuangalia wapi hakuna huduma hii ila inahitajika, mfano watu wanaosafirisha vitu vya kuharibika, mfano samaki kwahio mikoa kama Mwanza, au sehemu za ndani ndani ambapo kuna wavuvi ila huduma hii haipo na inahitajika.

Kwahio mkuu kwa ufupi kama wateja unao / unajua wapo wapi itakusaidia kupunguza cost ukiwa karibu nao; Kama wateja hauna wala hujui wapo wapi unaweza ukaset-up karibu na competitor wako iwapo huduma yako ni bora zaidi.., kama wateja wametapakaa set up katikati na wewe kuwapelekea huduma popote walipo, cha maana pia angalia na cost ya location sio busara wewe kukodi sehemu na kulipia 50% ya income yako kama rent.., wakati kumbe ungeweza ku-setup mbali kidogo kwa rent ndogo.

• Thanks
Reactions: amu
Wewe usipate shida kupata masoko mbona yako mengi nenda sehemu za biashara kwa mafano magengeni utapata wateja na sehemu nzuri ni maeneo ya hospitali kwani ukiongea vizuri na yule muhusika wa mochwari atayanunua na kuweka kwenye mafriji ........ yapo utafanya biashara nzuri sana sijui kama umenielewa hapa

Habari wana JF, ninatarajia kuanzisha biashara ya kuuza barafu (ice cubes) na kuuza kwa kilo. Sasa nastruggle kupata location itakayoendana na biashara yangu. Mchakato mzima uko hivi.

1: natarajia niwe natengeneza kilo 800 (mia nane) za barafu kwa siku. Natarajia kuziuza zote kwa order au random. Kilo moja ntauza sh 1500, hii ni ice cubes na mifuko yake ya kupack.

2: umeme ntatumia wa generator kwani machine inakula umeme mkubwa, na nina generator ya 11kva tayari. Generator hii itakuwa ni back up tu, tanesco ntaendelea nao kama kawaida pale watakapojisikia kutupa huduma.

3: maji ya ice maker yatakuwa yanatoka kisimani. So nachimba kisima kimoja tu kwa kazi hii. Na yatakuwa sio tatizo.

Naombeni msaada wa location, niiweke wapi hii biashara, nifanyie site mbali na watu halaf nitarget orders, au niwe na frame sehemu. Uwezo wa kuhifadhi barafu zisiyeyuke ninao bila kutumia umeme wala jokofu. Pia kama kuna anyeweza kuspot threat na risk za biashara hii aniambie ili niweze kuresolve mapema. Challenges nk ni zipi mbali na nilizonazo mimi kichwani.

Nb: unapotoa mchango tafadhali be frank and sincere kwasababu hii ni biashara ya 48m investment.

Shukran sana ndugu.

Soko zuri ni pale feri kivukoni
Naona watu wengi wananunua kwa ajili ya kusafirishia samaki
tatufata location maeneo ya kigamboni

au nenda kwenye soko la samaki la ununio
utapata wateja wa kutosha ingawa mnada wa samaki sio wa kila siku

wewe usipate shida kupata masoko mbona yako mengi nenda sehemu za biashara kwa mafano magengeni utapata wateja na sehemu nzuri ni maeneo ya hospitali kwani ukiongea vizuri na yule muhusika wa mochwari atayanunua na kuweka kwenye mafriji ........ yapo utafanya biashara nzuri sana sijui kama umenielewa hapa

Seriously Mkuu are you Serious ?, Mahospitali wana tenda / wanahitaji kununua/outsource barafu kutoka kwa wadau wa nje ? au tayari wanazo cold room in place. Yaani binadamu mortuary anahifadhiwa na kugandishwa kama samaki ?

• Thanks
Reactions: amu
Mwambie asisahau na maeneo ya Mwanza pale victoria lake

Soko zuri ni pale feri kivukoni
Naona watu wengi wananunua kwa ajili ya kusafirishia samaki
tatufata location maeneo ya kigamboni

au nenda kwenye soko la samaki la ununio
utapata wateja wa kutosha ingawa mnada wa samaki sio wa kila siku

Habari wana JF, ninatarajia kuanzisha biashara ya kuuza barafu (ice cubes) na kuuza kwa kilo. Sasa nastruggle kupata location itakayoendana na biashara yangu. Mchakato mzima uko hivi.

1: natarajia niwe natengeneza kilo 800 (mia nane) za barafu kwa siku. Natarajia kuziuza zote kwa order au random. Kilo moja ntauza sh 1500, hii ni ice cubes na mifuko yake ya kupack.

2: umeme ntatumia wa generator kwani machine inakula umeme mkubwa, na nina generator ya 11kva tayari. Generator hii itakuwa ni back up tu, tanesco ntaendelea nao kama kawaida pale watakapojisikia kutupa huduma.

3: maji ya ice maker yatakuwa yanatoka kisimani. So nachimba kisima kimoja tu kwa kazi hii. Na yatakuwa sio tatizo.

Naombeni msaada wa location, niiweke wapi hii biashara, nifanyie site mbali na watu halaf nitarget orders, au niwe na frame sehemu. Uwezo wa kuhifadhi barafu zisiyeyuke ninao bila kutumia umeme wala jokofu. Pia kama kuna anyeweza kuspot threat na risk za biashara hii aniambie ili niweze kuresolve mapema. Challenges nk ni zipi mbali na nilizonazo mimi kichwani.

Nb: unapotoa mchango tafadhali be frank and sincere kwasababu hii ni biashara ya 48m investment.

Shukran sana ndugu.
Jipange ukiwa tayari ,njoo tena JF nitakusaidia

Naomba nikuulize mkuu.
Mimi ninataka hiyo biashara lakini ni zile za kufunga kwenye vifuko(vifungashio) kuuza sh mia mia.

Lakini nataka kufanya in large scale.
Kwa maana niweze kuuza kwa uchache barafu si chini ya pieces 1,000.
Shida hadi sasa location natafuta location ambayo ni overpopulated mzunguko wa biashara mkubwa yaani kijana awe na baskeli na deli anawapelekea mabarafu.

Kuhusu mashine nitztumiz hizi za kibongo made in magomeni.
Friza baskeli deli yapo.
Shida location na bomba kama vile vituo vya biashara karume, makumbusho mbagala n. K.

Naomba msaada kwa location.
Jipange ukiwa tyr ,njoo tena JF nitakusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

Seriously Mkuu are you Serious ?, Mahospitali wana tenda / wanahitaji kununua/outsource barafu kutoka kwa wadau wa nje ? au tayari wanazo cold room in place. Yaani binadamu mortuary anahifadhiwa na kugandishwa kama samaki ?

Naomba nikuulize mkuu.
Mimi ninataka hiyo biashara lakini ni zile za kufunga kwenye vifuko(vifungashio) kuuza sh mia mia.
Lakini nataka kufanya in large scale.
Kwa maana niweze kuuza kwa uchache barafu si chini ya pieces 1,000.
Shida hadi sasa location natafuta location ambayo ni overpopulated mzunguko wa biashara mkubwa yaani kijana awe na baskeli na deli anawapelekea mabarafu.
Kuhusu mashine nitztumiz hizi za kibongo made in magomeni.
Friza baskeli deli yapo.
Shida location na bomba kama vile vituo vya biashara karume, makumbusho mbagala n. K.
Naomba msaada kwa location.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa tyr nitafute mm nafanya natumia freezer za Beko za Lita 175 zipo nne.Wateja ninao na kuna siku wanakosa barafu esp kipindi cha jua kali sana freezer zinazingua kinyama kugandisha.

Naomba connection plz. Mimi ninazo za vifuko, bei ni 300.

Naomba nikuulize mkuu.
Mimi ninataka hiyo biashara lakini ni zile za kufunga kwenye vifuko(vifungashio) kuuza sh mia mia.
Lakini nataka kufanya in large scale.
Kwa maana niweze kuuza kwa uchache barafu si chini ya pieces 1,000.
Shida hadi sasa location natafuta location ambayo ni overpopulated mzunguko wa biashara mkubwa yaani kijana awe na baskeli na deli anawapelekea mabarafu.
Kuhusu mashine nitztumiz hizi za kibongo made in magomeni.
Friza baskeli deli yapo.
Shida location na bomba kama vile vituo vya biashara karume, makumbusho mbagala n. K.
Naomba msaada kwa location.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi saana!

Back
Top Bottom