Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 28,270
- 81,531
Hata mimi nina family member anaimiliki hiyo bakery. Ameniambia inalipa kiasi chake. Bajeti anasema siyo chini ya milioni 30 na kuendelea kwa bakery yenye vifaa vya kisasa.
Kuna mdau mmoja ni member humu akifahamika kwa jina la Aljeciras amejinasibu kuuza vifaa vyote vya bakery. Namba yake ya simu aliweka hapa jukwaani 0713 66 26. 55. Anasema yupo Kariakoo. Mtafute, huenda akakupa na ushauri kabisa wa vifaa vilivyo bora. Kila la heri Sheikh wetu.