Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Huu uzi mwigulu nchemba anawaangalia ngoja aje na makadirio ya kodi
 
Projector ina resolution za namna mbili, native resolution na ile resolution ya kuproject.

Kama umewahi kwenda ukumbi wa cinema ule ni mfano wa projector nzuri, quality yake ni kubwa sana mpaka unasahau wazo la kua ile ni projector.

Wewe unaona mbaya hizo projector sababu native resolution ni ndogo nyingi ni 240p mpaka 480p, ila ukipata projector yenye native resolution ya Hd ama Full HD Quality inakuwa kubwa sana.

SEma na bei pia inakuwa ndefu 1m+
Natamani unitajie hizo projector model/brand zake.
 
Natamani unitajie hizo projector model/brand zake.
Zipo nyingi sana mkuu tunaongelea maelfu toka kina Ben Q, Anker, Sony, LG, Samsung, Epson, Optoma, Acer etc.

Cha muhimu angalia native resolution, na Lumens kama eneo lako lina mwanga.

Mfano nzuri kama hii Optoma HD146X

Pia siku hizi zipo projector za laser, short throw, inch kadhaa tu toka kwenye ukuta unapata bonge la picha bila kuweka projector mbali, sema bei ndefu milioni kadhaa.
 
Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani?

Misimu ya ligi za soka ndio inaendelea

Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Champion,Super Cup na Olympic

Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk

Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi

Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch

Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi

Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi

Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli

Mawasiliano(Call or text/whatsapp)
-0686811173
-0764453848
Inadumu kwa mda gani
 
Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika. Nunua Android TV Box, nunua 4G router. Kazi imeisha
Iyo android tv box n sh ngap na 4g router sh ngap
 
Mi natatizwa sana na kuangalia mpira kupitia projector, nyingi resolution yake inakua sio nzury, picha inakua blur , vipi kuna faida gani ya kutumia projector badala ya tv inch 55?
 
Mi natatizwa sana na kuangalia mpira kupitia projector, nyingi resolution yake inakua sio nzury, picha inakua blur , vipi kuna faida gani ya kutumia projector badala ya tv inch 55?
Hizo projector ni low quality, jaribu za Epson zenye kwanzia lumens 3800 utaenjoy sana.
 
Picha hizi hapa bei ni 400,000/-View attachment 2460149
IMG-20221211-WA0018.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom