Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Nahitaji kujua kwa aliyewahi kufanya biashara kuchukua mazao kijijini huko na kuleta mjini na gharama zake pia na usafiri na kuja kuuza bei ya jumla na mazao yenyewe kama nyanya,karoti,vitunguu saum au maji n.k.

Na biashara ya nafaka kama mchele, maharage, mahindi, ulezi, mtama, ngano
Naam uliza
Unataka kufanya?
Au kujaribu?
Kufanya=mali mbichi
Kujaribu=nafaka
 
Habar ndugu wa JF,

Mimi nimuajiliwa nahtaj msaada wenu wa mawazo kuhusu biashara hii ya mpunga nimekopa 4m katika taasisi ya fedha ili niweze kufanya biashara hii malengo yangu kununua gunia za mpunga 100 kwa bei ya elfu 40 katika bonde la mpimbwe maarufu kwa kilimo hcho, kisha kuyauza mazao mwezi okt novemba au dec ambapo soko lake huwa zuri sana kwa uzoefu nilionao kwa bei ambzo hupanda nakufikia gunia 1 tsh 60-75 bei hii ilikuwepo msimu wa mwaka jana licha ya zao hli kupatikana kwa wingi msimu uliopita tofaut kbsa na msimu huu mpunga haupatkan kwa wingi.

Ombi langu kwa wadau wa jukwaa hili naomba nisaidiwe mbinu mawazo kwa wote wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara waliowahi kufanya biashara kma hii changamoto na nini cha kufanya ili niweze kufikia malengo yangu nawasilisha msaada wako unahitajika sana.
 
Kwanza tambua gharama za kununua hadi kusafirisha magunia tupu 1000*100=100 000. Kusafirisha kila gunia labda buku=100 000 fata mtiriliko huo mwisho ona utauza sh ngapi.
 
Kwa kukushauri nunua mchele na c mpunga ili pesa izunguke. Kwa gunia moja,garama ya kununua hadi kusafirisha kwa mfano kati ya mbeya na dar ni kati ya 135000 hadi 14000. Ukiuza unauza kati ya 160000 hadi 180000.

Kwa kila gunia kuna faida kati ya 20,000 hadi 40,000.kwa hela yako unapata gunia 37 na unauza kwa jumla jumla ndani ya siku 3-5. Je, kwa mwezi utauza mara ngapi?
 
Habar ndugu wa JF mm nimuajiliwa nahtaj msaada wenu wa mawazo kuhusu biashara hii ya mpunga nimekopa 4m katika taasisi ya fedha ili niweze kufanya biashara hii malengo yangu kununua gunia za mpunga 100 kwa bei ya elfu 40 katika bonde la mpimbwe maarufu kwa kilimo hcho.kisha kuyauza mazao mwezi okt novemba au dec ambapo soko lake huwa zur sna kwa uzoefu nilionao kwa bei ambzo hupanda nakufikia gunia 1 tsh 60-75 bei hii ilikuwepo msimu wa mwaka jana licha ya zao hli kupatikana kwa wingi msimu uliopita tofaut kbsa na msimu huu mpunga haupatkan kwa wingi.

Ombi langu kwa wadau wa jukwaa hili naomba nisaidiwe mbinu mawazo kwa wote wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara waliowahi kufanya biashara kma hii changamoto na nini cha kufanya ili niweze kufikia malengo yangu nawasilisha msaada wako unahitajika sana.
Mkuu hiyo biashara ya mpunga, si rahisi kama hivyo, mi nimeifanya sana hapo mpanda, huko kote mnyamasi, mpimbwe nimezunguka, bora hata ya mchele hesabu yake ni rahisi kidogo, lakini mpunga siku shauri kabisa.
 
Kwa kukushauri nunua mchele na c mpunga ili pesa izunguke.Kwa gunia moja,garama ya kununua hadi kusafirisha kwa mfano kati ya mbeya na dar ni kati ya 135000 hadi 14000.Ukiuza unauza kati ya 160000 hadi 180000.Kwa kila gunia kuna faida kati ya 20,000 hadi 40,000.kwa hela yako unapata gunia 37 na unauza kwa jumla jumla ndani ya siku 3-5.Je,kwa mwezi utauza mara ngapi ?

Nashukuru kwa maoni yako ndugu ntayafanyia kazi.hapo katika gunia 1 bei ya kulinunua na kusafirisha ni 140,000 kwa gunia 1 au magunia hayo 37 nieleweshe ndugu hapo.
 
Mkuu hiyo biashara ya mpunga, si rahisi kama hivyo, mi nimeifanya sana hapo mpanda, huko kote mnyamasi, mpimbwe nimezunguka, bora hata ya mchele hesabu yake ni rahisi kidogo, lakini mpunga siku shauri kabisa.

Mkuu wazo lako zuri, naomba unipe muongozo biashara gan ya mazao inaweza kunitoa hapa nilipo na kunipeleka hatua nyingine.
 
Mkuu hiyo biashara ya mpunga, si rahisi kama hivyo, mi nimeifanya sana hapo mpanda, huko kote mnyamasi, mpimbwe nimezunguka, bora hata ya mchele hesabu yake ni rahisi kidogo, lakini mpunga siku shauri kabisa.

Asante kwa kunipa muongoza mkuu,ningependa unisaidie biashara gani tofauti na mpunga inaweza kunitoa hatua moja hadi nyingine kimaisha kwa mtaji wa 4m.
 
Wanajamvi hope wote mu wazima wa afya njema.

Nataka kufànya biashara ya mazao hasa mahindi na nafaka zingine; lakini kwa kuanzia nataka nianze na mahindi kwanza halafu mtaji ukikua nitaongeza wigo wa mazao mengine.

Ninaomba mnisaidie namna ya kupata mazao huko mikoani ni njia gani zinazotumika ili kuweza kufanikisha kupata mzigo ndani ya muda mfupi na kuuleta Dar?

Pia naomba mnijuze mikoa au wilaya ambazo naweza pata mahindi mengi kwa bei nzuri na ambapo kuna mazao au mahindi ya kutosha ili ukusanyaji uwe wa haraka.

Kuhusu soko kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani nimepata mteja ambaye atachukua. ni mteja wa uhakika kwa hivyo kwa upande wa soko sina tatizo.

Tatizo ni huko mikoani ndio sijui nianzie wapi nimalizie kwa suala zima la ukusanyaji na upatikanaji wa mahindi.

Mtaji wa kuanzia ni 10m nataka kuanza mara moja biashara hii kwa anayejua naomba anisaidie kunielekeza sehemu au mikoa ambayo naweza pata mahindi na pia mbinu za ukusanyaji sbb mi ndio naanza na sio mwenyeji wa biashara hii nahitaji kupata uzoefu kwa wanaofanya au waliokwishakufanya au wanaofahamu.

Thanks in advance
 
Back
Top Bottom