Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Habari wanajamvini!

Naomba kujua kama biashara ya nafaka inalipa. Nataka kufungua duka la nafaka, nikianza na mchele mahindi na maharage.

Tulijenge taifa
 
Nafaka znalipa kwani watu bado wanakula daily. Tafuta place yenye watu hata kama sio wengi sana. Pia uwe unanunua wakati wa mavuno. Me nategemea kuanza next msimu wa mavuno.
 
Hili swala la Inalipa ndo hufanya watu wakimbie biashara ndani ya miezi kadhaa, Unapo ingia kwenye biashara kwa kuangali kama inalipa au la ni tatizo.

KUHUSU NAFAKA
-Wakati umefika sasa wabongo tuwe wabunifu, make tuna tatizo kubwa sana kwenye ubunifu, unapo nunua nafakaeti uzifiche na baadae kuziuza ni biashara za kizamani sana, na sijui kama wanao fanya hivyo hucalculate TIME pamoja MFUMUKOWA BEI, make ukiweka vyote utakuta ni hakuna kitu.

NINI CHA KUFANYA
- Ni lazima watu wajikite katika kuongeza thamani mazao, kununua mahindi a kuyauza kama yalivyo hakuna kitu ulichoongeza hapo, but ukanunua na kukoboa, kusaga na kupak tiyari umeisha ongeza thamani,

Hivyo ni wakati wa kongeza thamani product zetu, iwe ni kuku, nafaka na kazalika, bila hivyo tutaachwa nyuma na kuishia kulalamika ni kwa nini Supermarket kama Shoprite waagize nyama kutoka nje? Ni kwa nini waagize Matunda, nyama kuku kutoka nje? Hayo nd malalamiko yetu, But Shoprite hawawezi enda Buchan kupanga foleni ya kununua nyama.

HIVYO WAKUU TUJARIBU KUWA TUNAONGEZA SOME THING KATIKA BIDHAA NA HUDUMA ZETU
 
Wewe ni mjasiriamali wa ukweli. Ni lazima 2we creative maana biashara zipo na demand ni kubwa kiasi kwamba hali ilivyo sasa hatujafanya biashara kwa uhakika ila tunabahatisha.
 
Dears wana JF

Naomba ushauri kwenu nataka kufungua duka la mchele na nafaka zote kwa ujumla na vyakula mbalimbali,ni wapi ambako nnaweza nikapata frame ambako biashara hiyo itatoka vizuri,yani kuna uhitaji sana na ununuzi wa hizon bidhaa?

Mchango wenu ni mafanikio yangu.

Eneo ni Dar es Salaam.

Wazo lako ni muhimu sana kwangu, usisite kuongea chochote unachofikiria katika hili.

Wazo langu: Nilikuwa nawaza kutafuta frame maeneo ya Mbezi Mwisho kwani wengi niliowauliza wanasema kule watu wengi ndio wamejenga sana na wanahamia hivo wanauhitaji mkubwa.
 
Jambo lako ni zuri sana hiyo biashara nzuri sana kama utaweza kupata fremu maeneo ya watu wengi hususani kama ni mjini unaweza fanya utafiti wa eneo unalotaka kufungua hiyo biashara yako na ikauzika vilevile ningekushauri uendee kuonana na wenyeviti wa masoko makubwa kwa mfano pale Kariakoo Dar, Morogoro mjini, au sehemu ya magenge makubwa kama Kariakoo ukajua bei ya ununuzi ikoje kabla hujaanza kufungua fremu.

Vilevile fanya utafiti wa michele mikoani mingine wanauzaje ili uweze kujua faida na hasara (profit and loss) zake
mwanangu kujiajiri sasa kunalipa kuliko kuajiriwa kwani utatatumikishwa na usione faida yoyote utashangaa kama unapata
800,000/= kwa mwezi inakatwa mpaka inafikia 450,000/= kwa mwezi kwa yale makato ya kodi mbalimbali sasa hapo unapata nini wakati mwenyenyumba anataka chake, maji hujalipa umeme ndo usiseme yaani full makodi makodi tu.

GANGAMALA MKUU
 
Jambo lako ni zuri sana hiyo biashara nzuri sana kama utaweza kupata fremu maeneo ya watu wengi hususani kama ni mjini unaweza fanya utafiti wa eneo unalotaka kufungua hiyo biashara yako na ikauzika vilevile ningekushauri uendee kuonana na wenyeviti wa masoko makubwa kwa mfano pale kariakoo dar, morogoro mjini, au sehemu ya magenge makubwa kama kariakoo ukajua bei ya ununuzi ikoje kabla hujaanza kufungua fremu

Vilevile fanya utafiti wa michele mikoani mingine wanauzaje ili uweze kujua faida na hasara (profit and loss)vzake
mwanangu kujiajiri sasa kunalipa kuliko kuajiriwa kwani utatatumikishwa na usione faida yoyote utashangaa kama unapata
800,000/= kwa mwezi inakatwa mpaka inafikia 450,000/= kwa mwezi kwa yale makato ya kodi mbalimbali sasa hapo unapata nini wakati mwenyenyumba anataka chake, maji hujalipa umeme ndo usiseme yaani full makodi makodi tu
GANGAMALA MKUU

Asante sana kwa ushauri, mimi mchele nalima mwenyewe mpunga nalimia Mbeya, hivo nakuwa nauza mchele kutoka Mbeya.

Pia, sijakuelewa kuhusu wenyeviti wa masoko. Kwamba wao watanisaidia kujua bei za mchele kwa soko husika,hao wenye viti wanakuwa na uzoefu wa kiasi hicho,of course its true unavoniambia nisifungue kwanza duka nifanye survey ya bei kwani nnaweza nikauza kwa jumla moja kwa moja sokoni kuliko kutafuta frame.

Pia nilikuwa naomba kama kuna mtu yoyote ana connection na watu wa mashule ya boarding niweze ku-supply mchele.
 
Ninapozungumzia wenyeiviti wa masoko mfano kama pale kariakoo nazungumzia kuhusu kupeleka mchele wako kwao kwani wao wanajua zaidi mambo ya soko lao unaweza ukapeleka pale kwa jumla itakusaidia zaidi kwani utakuwa na ulazima wa kuwa na flemu best.

Kuhusu shule boarding huko sina uzoefu nako labda ufanye utafiti mwenyewe kwenda kwenye hizo shule na kufanya mambo marketing maeneo hayo best
Asante sana kwa ushauri, mimi mchele nalima mwenyewe mpunga nalimia Mbeya, hivo nakuwa nauza mchele kutoka Mbeya.

Pia sijakuelewa kuhusu wenyeviti wa masoko..kwamba wao watanisaidia kujua bei za mchele kwa soko husika,hao wenye viti wanakuwa na uzoefu wa kiasi hicho,of course its true unavoniambia nisifungue kwanza duka nifanye survey ya bei kwani nnaweza nikauza kwa jumla moja kwa moja sokoni kuliko kutafuta frame.

Pia nilikuwa naomba kama kuna mtu yyte ana connection na watu wa mashule ya boarding niweze kusupply mchele.
 
Ninapozungumzia wenyeiviti wa masoko mfano kama pale kariakoo nazungumzia kuhusu kupeleka mchele wako kwao kwani wao wanajua zaidi mambo ya soko lao unaweza ukapeleka pale kwa jumla itakusaidia zaidi kwani utakuwa na ulazima wa kuwa na flemu best

Kuhusu shule boarding huko sina uzoefu nako labda ufanye utafiti mwenyewe kwenda kwenye hizo shule na kufanya mambo marketing maeneo hayo best

Thanks so much
 
Mkuu "Chasha Poultry Farm" nimekuwa nikifatilia comments zako nyingi kwenye threads tofauti kwa kweli una mitazamo ya tofauti, kisomi na kimapinduzi zaidi kwenye tasnia nzima ya ujasiriamili na biashara Tanzania, binafsi nimekuwa insipired sana na miongozo yako mbalimbali, Mungu akubariki.

Value addition is very important in every things we do as entrepreneur and business men, watanzania umefika wakati tutoke kwenye mbinu za ujima za kibiashara. Mkuu big up sana.

Nipo kwenye ajira kwa sasa, ila for sure I'm not happy being employed, this two years of employment are more than enough, anytime soon naenda kujiajiri coz I can see and feel niko na spirit ya ajabu in entrepreneurship and business, my business idea ni kuwa supplier wa food staffs kwenye big hotels and supemarkets in town ndio maana point yako ya value addition imenigusa sana na malengo makuu ni oneday kumiliki viwanda vya kuchakata na kusindika mazao mbalimbali ya majini na nchi kavu for export purpose.

I do believe oneday nitaleta mrejesho wa mafanikio makubwa kwenye hili, mungu awabariki wana JF wote.

AMEN
 
Nipo Tunduma Soko la kimataifa, ninauza na kununua mazao(Nafaka) kama vile Maharage, Ulezi, Mahindi, Karanga, mchele/mpunga. Natafuta wadau walioko ktk masoko tofauti kama vile Dar es salaam, Mtukura(Bukoba), Busia(boda ya Sudan na Uganda, Dodoma, Moshi, Mombasa, Nairobi na maeneo mengine ndani na nje ya nchi. Pia wadau au wamiliki wa tenda za chakula katka sehem tofauti.
 
Ok.ebu nipe bei ya kilo ya mchele hapo wa rukwa ni sh.ngap mkuu,pia na maharagwe kw kilo bei gani? Tunaweza kufanya biashara kamanda.
 
Nahitaji kujua kwa aliyewahi kufanya biashara kuchukua mazao kijijini huko na kuleta mjini na gharama zake pia na usafiri na kuja kuuza bei ya jumla na mazao yenyewe kama nyanya, karoti, vitunguu saum au maji n.k.

Na biashara ya nafaka kama mchele, maharage, mahindi, ulezi, mtama, ngano.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom