Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kununua na kuuza mazao ( nafaka)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mugaji, Oct 17, 2012.

 1. M

  Mugaji Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wadau naomba ujuzi weno kwenye hi biashara, Je nikianza na shilingi milioni 5 itanitoa? Je kuna changamoto zipi nitarajie kukutana nazo.Binafsi napenda sana kujiajiri.Robert Kayosaki anasema kwenye kitabu chake cha poor dady & Rich dady ya kwmba a highly paid slave is still a slave.WanaJF naomba kuwakilisha Hoja.
   
 2. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  milioni tano yaweza kukutoa au yaweza kushindwa kulingana na maswali yafuatayo!

  mkuu nafaka zinatofautiana maana kuna, mpunga, mahindi, maharagwe, mtama, uwele, ngano, soya, etc, sasa ni nafaka zipi utahitaji kuzinunua?
  utaenda kununua kwa njia ya kukopesha wakati wa kulima ili upate mavuno baadae?
  au utasubiri kipindi cha mavuno?
  jiulize ni sehemu zipi za Tz unategemea kwenda kununua??
  Soko lako litakuwa wapi?
  ni wewe mwenyewe unategemea utaifanya hii kazi au utaajiri watu/agents?
  usafirishaji je utakodi au unao binafsi?
   
 3. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  moja ya changamoto uwe tayari wakati wote kuuza kwa bei ya kupangwa na serikali kwani serikali inaiingiliaga bei za mazao hasahas vyakula ili kuwalinda walaji(wananchi) waweza wewe uwe umenunua kwa bei kubwa ukaambiwa uza kwa bei ya kupangwa na serikali uwe makini sana kwa mazao yanayoweza haribika kabla ya kuwa sokoni nakutakia biashara njema.
   
Loading...