Biashara ya kuni, Njoo nikupe muongozo wa kuifanya biashara hii

Ok.. Kwa hiyo kama unaanza, vibali lak 8, mzigo 1m, jumla 1.8m, au?
Hapana ka unavibal vyko kuleta mzgo wa fuso itacost million lak mbili ad tatu ..na s lazma utegemee vibal ..mfano kwa million lak 8 hta ka hauna vibal tukikuletea mzgo ...faida utapata c chini ya million lak 2 ...
 
sijaelewa hapa, kuni moja inauzwa buku au zinakuwa kwenye mafungu, yaani kuni kwenye mafungu ndio buku.ufafanuzi tafadhari.
Kun moja n buku mkuu ....
5380700e17c13a8d47d99950d704935f.jpg
 
Mku kama ni muuzaji wa jumla ukipata wingi wa wahutaji kwa kupitia hiyo Laki tano kwa wanaotaka kuanza kufanya hiyo biashara uwezi kutuletea Mzigo
Yah mkiungana ..hamna shida ..ndan ya wiki nawaletea
 
Asante kwa maelezo, ila nilitaka kujua kuhusu kibali cha kuuza mjini tu, mfano kama wewe unaleta, sio mimi kwenda kufata mzigo kijijini
 
Asante kwa maelezo, ila nilitaka kujua kuhusu kibali cha kuuza mjini tu, mfano kama wewe unaleta, sio mimi kwenda kufata mzigo kijijini
Kuuza mjini ..hakuhitaj kibal ..tafuta place na tafta watu wakuletee mzigo bas .....
 
Kwahiyo hivyo vikuni vitatu hapo bei yake ni elfu tatu...huu mbona utani sasa
Ndo bei zake mkuu ...hio nmechukua moja ya picha ....japo zpo Nene kidogo na ndefu ila hazizidian sana na kwa wanunuz wanalielewa hilo
 
Habar zenu wadau ....Mimi n mfanyabiashara mwenye vibali vya uvunaji na usafirishaji mazao ya misitu kutoka maliasili yan kuni .

Ikiwa unahtaj kuanza biashara hii yenye faida kubwa (japo wengi hawajaistukia )BAs niulize swal lolote au utahitaj nikuletee mzgo kwa bei nafuu bas tuwasiliane

Mchanganuo uko hivi

Kenta ya mita za ujazo 12 ikiwa na takriban kuni 1600 tutakuletea sehem yoyote dar kwa million moja na bei ya kuuza n buku kwa io utapata faida ya lak sita kwa muda mfup sababu n kuni ndogo hta ka eneo hilo halina biashara kiivo

Na tunaleta fuso kubwa pia ujazo wa mita za ujazo 24 kun 3000 kwa gharama ya million lak nane

Ukiuza jumla utapata faida million lak mbili na kuendelea

Ikiwa unahtaj kuni na hujui utazpata WAP bas wasiliana nam 0712770729 au 0685 580057

Karibun sana
Nimeona title tu sijataka kuendelea kusoma. Ushauri ni hivi;
Kuni au soko la kuni linaelekea kufa kwa miaka ya karibuni (soon after 2024) .so kama unataka kufanya kwa ajiri ya kutafuta mtaji wa kufanyia biashara nyingine is ok
Note: I red business in books (at school)

Forex Beginner.
 
Ulivoanza nlijuwa unaongea point.... Anyway it seems hujui unaongea nn.... Soko la kuni lipo na litaendelea kuwepo na n biashara yenye kuiimgizia iyo serikal mamilion ya pesa kwa siku..... Kifup n hvo na Kuna mamb meng huyajui uliza utafahamishwa

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mengi siyajui ni kweli natoa a hundred percent for that point.
Kuhusu mapato ya serikali natoa maksi pia kwa hilo ila kumbuka umetaja mamilioni ya pesa kwa siku je, ni TZS ,UG SHS, KES or USD ? tunapotaja pesa tuwe makini ok.
Kuhusu solo la kuni kuendelea kuwepo no, labda kama technology iwe inaenda reverse.
In short kama unafanya biashara ya kuni kwa ajiri ya kupata mtaji wa kufanyia biashara is ok.
Tukutane miaka saba ijayo. For analysis
Note: I only red business in books (at school)

Kuni zitaendelea kuwepo hata 2050 sababu hatuna Sera mbadala
 
Back
Top Bottom