Biashara ya kuni/mkaa kurudi kwa nguvu: Gesi imepanda maradufu ndani ya wiki moja!

Umeipata wapi mana pamoja na kupanda aipatikani,mshahara wangu take hm 350. 000.umeme kwa mwezi 40,000.*12=480,000 maji 20.000*12=240000,ada 860.000,nauli shule 35.000*10=350.000,gesi umesema 70,000 kichwa kimeanza kuniuma lazima watanzania wawe wezi
 
Jamani tuwe wa kweli, mtungi wapi unauzwa 70,000/??? Mi nimenunua leomtungi wa kilo 15 kwa 45,000, tena nipo Shinyanga ambapo vitu kama hivo vinatokea dar na huwa ni ghali sana, tusipotoshe watu.
 
Jamani tuwe wa kweli, mtungi wapi unauzwa 70,000/??? Mi nimenunua leomtungi wa kilo 15 kwa 45,000, tena nipo Shinyanga ambapo vitu kama hivo vinatokea dar na huwa ni ghali sana, tusipotoshe watu.

kama ni kweli basi Muanzisha mada ametapeliwa
 
Jamani tuwe wa kweli, mtungi wapi unauzwa 70,000/??? Mi nimenunua leomtungi wa kilo 15 kwa 45,000, tena nipo Shinyanga ambapo vitu kama hivo vinatokea dar na huwa ni ghali sana, tusipotoshe watu.
Njoo tabata acha story za shinyanga..huku 75k
 
Yes I heard that and i read that gas imepanda, kufikia bei hyo kwa mtungi wa kilo 15 ambayo nilikua na nunua kwa 35000/= which i used to think bado bei ya juu but cheap ikicompare na nishati nyingine kwa matumizi yangu ya mwezi, still jana i bought unit 85 za umeme kwa 20000/= while nilikua napata 115 units enough for my self. and then nikaingia BP kujaza mafuta Petrol 10litres kwa 20000/= ambapo inanitoa nyumbani mpaka kazini kwa siku bila mizunguko mingine ( dont be surprised i leave 30km away from town centre) but i use to get at least 14litres siwezi kutaja list ndefu tusubiri nauli za daladala, na mabus kupanda. Bei za vyakula tena kupanda... na Bado utaambiwa inflation is only 8% (insisting on a single digit as usually) na uchumi uchumi unakua ukilinganisha na nchi nyingine za afrika...Tanzania is doing fine. Hapo ni miezi miwili tu tangia uchaguzi... tunaangalia trend kwa miezi mingine kumi mwaka uishe. tuendelee hvi hvi mpaka miaka mitano iishe... Bdo tena kunaswala pia linaniumiza kichwa wanasema UDINI... inamaana hii hali naipata mie tu kama mkristo...Inamaana waislam wako exempted...
inamaana kunasehemu usimamizi mbovu, na je waliokufa hko arusha, ni wakristo tu, au pia kunamwislam kama hali hii inatushika wote na inatunyanyasa wote. kwanini tusiwe pamoja kukemea hayo...Maanaake hku kuna ushabiki wakijinga sana wakati reality inaonekana na inakuaffect directly. Tusijaribu kufunga macho...

Na hizi agency kazi zake ni nini...Ewura, sumatra. mbona kila kitu wao wanapitisha tu.....

Na kupanda kwa gesi, mafuta na umeme hyo misitu yetu itapona kweli???:A S confused:
 
Jamani tuwe wa kweli, mtungi wapi unauzwa 70,000/??? Mi nimenunua leomtungi wa kilo 15 kwa 45,000, tena nipo Shinyanga ambapo vitu kama hivo vinatokea dar na huwa ni ghali sana, tusipotoshe watu.

upo shinyaga watu wa dar wanakueleza,wee unasema wanaposha umma? Iyo 44elf ilikuwa hata kabla ya xmass,kabla ya kupanda 18.5%umeme na maji,sasa unashangaa? Kwani 18.5%ya 44elf haiwezi fika bei iliyotajwa?
 
Mimi nimesema bei niliyonunulia gesi leo we unaniletea stori za Xmas?? are you out of ur mind???
 
Majangwa yana mafuta, tujtahidi kutumia mkaa tupate jangwa baadae mafuta. Wajukuu na vitukuu watapeta. Ongeza matumizi ya mkaa.
 
ni kweli hiyo kitu mazee tena hiyo 70000 unaipata gesi kwa mazabe

beki tatu kanunua jana.. nimechoka kabisa
 
Jamani tuwe wa kweli, mtungi wapi unauzwa 70,000/??? Mi nimenunua leomtungi wa kilo 15 kwa 45,000, tena nipo Shinyanga ambapo vitu kama hivo vinatokea dar na huwa ni ghali sana, tusipotoshe watu.

Imetangazwa hivi usiku kwenye ITV hata mimi mwenyewe nimesikia na kushangaa kwani ni mtumiaji wa gesi.
 
ni kweli hiyo kitu mazee tena hiyo 70000 unaipata gesi kwa mazabe

beki tatu kanunua jana.. nimechoka kabisa
 
Wachangiaji wanarudisha hela yao ya kampeni..na utaona serikali itakavyokuwa kimya.Kama mafuta 2005....Dah,bora Mkapa aliejua kula na 'kipofu'!
 
Back
Top Bottom