Biashara ya kukodisha muziki

Mgwila junior

Senior Member
Jul 31, 2016
104
73
Wadau ni ndoto yangu kuanzisha biashara ya kukodisha muziki eneo Fulani ambako ni kijijini na Huduma za muziki zipo chini ila sherehe ni nyingi pia.
Naomba mawazo yenu kuhusu changamoto na namna ya kuanza.

asante naomba kuwasilisha
 
Eneo Fulani ni eneo gani? unapoomba ushauri jaribu kuwa muwazi japo kwa asilimia chache
 
Wadau ni ndoto yangu kuanzisha biashara ya kukodisha muziki eneo Fulani ambako ni kijijini na Huduma za muziki zipo chini ila sherehe ni nyingi pia.
Naomba mawazo yenu kuhusu changamoto na namna ya kuanza.

asante naomba kuwasilisha
Uwe na dj mzuri na vyombo vizuri tu...
Kwa Siku malipo huwa ni 100,000/ mpk 130000
Kwa mjini

Ova
 
Ukiwa na mziki mzur huwa ni 200-250k kweny harusi na shereh nyinginezo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom