concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 1,413
- 1,763
Kuna njaa kali sana miaka hii miwili ndo maana.Biashara nzur.sana hyo mkuu..na muda mzur wa kununua mahindi ni kuanzia mwez wa 5mpaka wa 7..hiki nikipind cha wakulima weng wanavuna shamban na bei inakua cheap kidogo kwa mbeya lakn sijuh mikoa mingine..japo kuwa inaonekana kwa huu utawala wa baba ***** anataka kuweka usawa kwa mkulima siyo kama utawala uliopita, mkulima alikua ananyonywa sana..point yangu ni kwamba kipind hiki cha mavuno mahind yapo juu sana. Kilo 1 sh 450...wakat huko nyuma kipind cha mavuno kama hiki kilo 1 inakuaga sh 150