Biashara ya kukobolesha na kuuza unga

newrays

newrays

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
177
Likes
129
Points
60
newrays

newrays

Senior Member
Joined Sep 3, 2013
177 129 60
Kuna biashara nilikua naifikiria nifanye..ni ya kukobolesha mahindi alafu na kuuza sembe..
Kabla ya kujiingiza kichwa kichwa nimeona niombe ushauri maoni na ujuzi KUHUSU
Hali ya soko
Mtaji
Changamoto
Experience kwa waliofanya
 
ndenga

ndenga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Messages
1,748
Likes
554
Points
280
ndenga

ndenga

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2010
1,748 554 280
Soko ni nzuri sana ila jiandae kupata vibali vyote husika..TFDA, TBS, Business Licensing Authoriesties etc
 
Elly Sammy

Elly Sammy

Member
Joined
Feb 20, 2013
Messages
24
Likes
3
Points
5
Elly Sammy

Elly Sammy

Member
Joined Feb 20, 2013
24 3 5
Iko vizuri kaka,bt ni lazma upitie hatua kama alivyoshauri mchangiaji aliyetangulia ili usipate vikwazo visivyo na ulazima. Si unajua hicho ni chakula kaka?
 
N

Nyangaluda

Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
98
Likes
41
Points
25
N

Nyangaluda

Member
Joined Dec 28, 2010
98 41 25
Biashara yyte ya chakula inalipa kwani hakuna mapumziko kwn kupeleka puani!
 
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2010
Messages
827
Likes
887
Points
180
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2010
827 887 180
Hapo kwenye sembe ongeza DONA ni muhimu kwa shughuli za wanaume na ikiwezekana familia nzima watumie dona kuepuka magonjwa ya utapiamlo
 
newrays

newrays

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
177
Likes
129
Points
60
newrays

newrays

Senior Member
Joined Sep 3, 2013
177 129 60
Soko ni nzuri sana ila jiandae kupata vibali vyote husika..TFDA, TBS, Business Licensing Authoriesties etc
Ndio kwa baadae !! Kwa sasa nilitaka nianze kidogo kwa kusambaza madukani kwanza kabla cjafanya kitu kikubwa Sijui kama hata hicho kitahitaj hizo process zote Mkuu??
 
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
5,159
Likes
2,682
Points
280
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
5,159 2,682 280
By experience!
Nenda mikoa ya Iringa au Mbeya, nunua mahindi moja kwa moja kwa wakulima, sogeza mahindi kwenye mashine ya kusaga iliyo karibu ili kupunguza carriage cost!
NB: hapa uwe umeshaongea na watu wa mashine, ikiwezekana uwe unawaachia pumba ili gharama ya usagishaji iwe chini zaidi (chini ya 5000/= kwa gunia)

Mahindi yakifika kiasi unachotaka, anza kusaga na kupaki(kwa kuanza unaweza kuwa unatumia mashine ya kushonea ya kukodi na mifuko yenye nembo ya mtu mwingine (mtafute)!

Gharama ya mfuko tupu usio na nembo ni around 200-350 bei ya jumla na 400-600 wenye nembo)

Kipimo kiwe kilo 5, 10, 25 na 50 (gharama ya upakiaji kwa makuli ni around 700 kwa kila kilo 50!

Tafuta magari yanayosafirisha mizigo mikubwa, ongea nao wakuunganishie mzigo wako kwa wasafirishaji wengine (madalali are so good in this)!

Mzigo ukifika mkoa wako wa soko waombe wakushushie sehemu ambayo ni rahisi kwako!

Zambaza mzigo kwa wateja wako!
 
Asante Mkuu kwa msaada wako wa kimawazo
 
essaugervas

essaugervas

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
601
Likes
260
Points
60
Age
29
essaugervas

essaugervas

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2016
601 260 60
biashara nzur.sana hyo mkuu..na muda mzur wa kununua mahindi ni kuanzia mwez wa 5mpaka wa 7..hiki nikipind cha wakulima weng wanavuna shamban na bei inakua cheap kidogo kwa mbeya lakn sijuh mikoa mingine..japo kuwa inaonekana kwa huu utawala wa baba jesca anataka kuweka usawa kwa mkulima siyo kama utawala uliopita..mkulima alikua ananyonywa sana..point yangu ni kwamba kipind hiki cha mavuno mahind yapo juu sana..kilo 1 sh 450...wakat huko nyuma kipind cha mavuno kama hiki kilo 1 inakuaga sh 150
 
C

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
898
Likes
580
Points
180
C

concordile 101

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
898 580 180
biashara nzur.sana hyo mkuu..na muda mzur wa kununua mahindi ni kuanzia mwez wa 5mpaka wa 7..hiki nikipind cha wakulima weng wanavuna shamban na bei inakua cheap kidogo kwa mbeya lakn sijuh mikoa mingine..japo kuwa inaonekana kwa huu utawala wa baba ***** anataka kuweka usawa kwa mkulima siyo kama utawala uliopita..mkulima alikua ananyonywa sana..point yangu ni kwamba kipind hiki cha mavuno mahind yapo juu sana..kilo 1 sh 450...wakat huko nyuma kipind cha mavuno kama hiki kilo 1 inakuaga sh 150
Kuna njaa kali sana miaka hii miwili ndo maana
 
Tangasisi

Tangasisi

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
119
Likes
46
Points
45
Tangasisi

Tangasisi

Senior Member
Joined Aug 21, 2013
119 46 45
By experience!
Nenda mikoa ya Iringa au Mbeya, nunua mahindi moja kwa moja kwa wakulima, sogeza mahindi kwenye mashine ya kusaga iliyo karibu ili kupunguza carriage cost!
NB: hapa uwe umeshaongea na watu wa mashine, ikiwezekana uwe unawaachia pumba ili gharama ya usagishaji iwe chini zaidi (chini ya 5000/= kwa gunia)

Mahindi yakifika kiasi unachotaka, anza kusaga na kupaki(kwa kuanza unaweza kuwa unatumia mashine ya kushonea ya kukodi na mifuko yenye nembo ya mtu mwingine (mtafute)!

Gharama ya mfuko tupu usio na nembo ni around 200-350 bei ya jumla na 400-600 wenye nembo)

Kipimo kiwe kilo 5, 10, 25 na 50 (gharama ya upakiaji kwa makuli ni around 700 kwa kila kilo 50!

Tafuta magari yanayosafirisha mizigo mikubwa, ongea nao wakuunganishie mzigo wako kwa wasafirishaji wengine (madalali are so good in this)!

Mzigo ukifika mkoa wako wa soko waombe wakushushie sehemu ambayo ni rahisi kwako!

Zambaza mzigo kwa wateja wako!
Mdau GreenCity nimevutiwa na mchango wako juu ya biashara hii. Je kwa mfumo huo bado vibali vya TBS na TFDA vinahitajika? Na leseni ya biashara ya aina hii inaweza kuchukua muda gani kuipata . ?umeongea pia juu ya nembo ya mtu mwingine unadhani nahitajika kuongea na mhusika juu ya kutumia nembo yake?
Mm nina mashine tayari ya kusanga na kukoboa .ila naona kuna changamoto ya kupata vibali vya ruhusa ya uzalishaji toka kwa TBS na TFDA . Ndio maana nimeona ww una weza nipa nwanga zaidi kwa plan B ya kutumia mashine za kulupia.
 
nyigo Jn.

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Messages
268
Likes
80
Points
45
nyigo Jn.

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2015
268 80 45
Mm ninaifanya hii kitu kwa muda kidogo sasa ngoja niwape ujanja kidogo ingawa bado nakuza mtaji maana ndo kwanza nimetoka chuo

Ninatafuta mahindi vijijini then nayaleta mjini nikifika hapo kuna wafanyabiashara wakubwa ambao tayar wapo kwe soko la unga kwa muda mrefu na wana mashine zao ninachokifanya mm nikifika na mahindi yanga ninayasimamia yanasagwa na kufungwa kwe mifuko ya ujazo wa kg 25 then ninaiuzwa kwa jumla kwa mmiliki wa mashine then naiuza na pumba then narud vijini kusaka mahindi

Ni biashara nzur tena sana since nimeianza sijui kitu kinachoitwa hasara

Kwa wenye mitaji mikubwa unaweza tafuta soko lako mwenyewe la unga na hata kufungua mashine zako na ikakulipa zaidi

Nadhani nimetoa ABC kidogo kwa maelezo zaid 0659902425

Changamoto kubwa kwe kwe hii biashara ni variations ya bei za mahindi
 
mwampepe

mwampepe

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Messages
244
Likes
54
Points
45
mwampepe

mwampepe

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2015
244 54 45
Labda ufanye kama huyu kuepuka usumbufu wa TBS na TFDA
 
kipusy

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
593
Likes
157
Points
60
kipusy

kipusy

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
593 157 60
By experience!
Nenda mikoa ya Iringa au Mbeya, nunua mahindi moja kwa moja kwa wakulima, sogeza mahindi kwenye mashine ya kusaga iliyo karibu ili kupunguza carriage cost!
NB: hapa uwe umeshaongea na watu wa mashine, ikiwezekana uwe unawaachia pumba ili gharama ya usagishaji iwe chini zaidi (chini ya 5000/= kwa gunia)

Mahindi yakifika kiasi unachotaka, anza kusaga na kupaki(kwa kuanza unaweza kuwa unatumia mashine ya kushonea ya kukodi na mifuko yenye nembo ya mtu mwingine (mtafute)!

Gharama ya mfuko tupu usio na nembo ni around 200-350 bei ya jumla na 400-600 wenye nembo)

Kipimo kiwe kilo 5, 10, 25 na 50 (gharama ya upakiaji kwa makuli ni around 700 kwa kila kilo 50!

Tafuta magari yanayosafirisha mizigo mikubwa, ongea nao wakuunganishie mzigo wako kwa wasafirishaji wengine (madalali are so good in this)!

Mzigo ukifika mkoa wako wa soko waombe wakushushie sehemu ambayo ni rahisi kwako!

Zambaza mzigo kwa wateja wako!
Nzuri ukiwa unasaga kwenye mashine zako ili kudhibiti viwango.
 
Forum statistics

Threads 1,237,508
Members 475,533
Posts 29,291,246