Biashara ya kujiuza mwili yapewa nafasi kubwa Tanzania

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Kwa wahafidhina lazima msimame na kucha kupinga tulizeni mpira haya ndiyo manufaa ya biashara hii
1.Kipato kwa mhusika hujipatia kipato cha kumwezesha kumudu maisha na chanzo kwa mapato ya serikali kwa kodi itakayokusanywa USA inaongoza kwa kukusanya kodi kupitia biashara hii
2.Husaidia sana watu walioko bussy kutokana na majukumu yao kuwanyima muda wa kutafuta wapenzi kutokana na mlolongo wa vijimambo katika kumfuatilia mara maua meetings zaidi ya mia na mapozi juu hadi afanikiwe kwa biashara hii inaondoa usumbufu wote ni cash yake tuu
3.Inasaidia wanaume madomo zege wale ambao hawajiamini hawawezi kutongoza midomo imekula zege hawa wanakuwa wepesi kupitia biashara hii
4. Husaidia kupambana na umasikini
5.Husaidia mauzo ya condoms,nyumba za wageni,baa(eg.kona,maeda,night clubs zote) kuongeza kipato kupitia mauzo katika biashara hii.
6.Husaidia kuondokana na tatizo la wanaume kujichua kwakuwa huduma itapatikana kirahisi bila vikwazo. Ni wakati sasa wa kuachana na tamaduni za kale za mwaka 40 kuona hii kitu mbaya
 
kumbe mbwembwe zote unataka ipewe kipaumbele kama zao la pamba tabora enheee.. haya kila la kheri peleka oni lako kwa mzee warioba..
 
Kwa sasa c imepigwa kabari iachiwe badala ya sasa kufanywa kwa kificho zaidi ya asilimia 20 ya wanawake walioko makazini wanafanya hii biashara dsm
 
Ningependa uwe muwazi zaidi katika kuitetea biashara hii. Je, wewe binafsi unaweza, unaimudu na uko tayari kuifanya biashara hii itakaporuhusiwa? katika mawazo yote uliyowahi kuwaza akilini mwako hukufikiria biashara nyingine ambayo labda ingepewa kipaumbele zaidi ya hii? Je, ungependa uwe na biashara ya aina gani katika maisha yako??? kubwa yenye heshima au hiyo ya kuudhalilisha mwili wako?

Utajisikiaje siku ukimtembelea mwanao/nduguyo wa damu kwenye eneo lake la biashara na ukamkuta katika biashara hiyo ya kujiuza naye akajisifia na kukwambia sory mom, niko bize kidogo leo biashara imechanganya nisubiri nikawahudumie wanaume waliokosa muda wa kutafuta wapenzi ili washipige punyeto nisubiri tu!

Binadamu tumekaa mbali na hofu ya Mungu na ndio maana tunawaza yaliyokinyume na Mungu siku zote! Kuwa mwangalifu usiupambe uovu hutakosa jema la kufanya litakalokusaidia na kumpendeza Mungu.
 
Kwa sasa c imepigwa kabari iachiwe badala ya sasa kufanywa kwa kificho zaidi ya asilimia 20 ya wanawake walioko makazini wanafanya hii biashara dsm

sio makazini pekee..bali vyuoni, mitaani, majumbani..kila kona wapo
 
Ina maana umeruhusu biashara hii rasmi au?

jamani ni biashara huria UJASILIMALI MWILI..KIMFACHO MTU NI CHAKE ..mwili ni wakee laha nizake kama Kodi yeye ndio anae paswa kuli kodi.lkini kwa kaline hii hayo mambo huwezi kuzuia.nenda INDIA..PHILIPINO..URUSI BRAZIL..SANT DOMINGO.. NIGERIA...SOUTH AFRICA..MOMBASA..nk je hizo nchi zina sheria na Tamaduni pia lakini waweshidwa kuzuwia
 
hiyo ni moja ya mikakati ya ccm kuhakikisha vijana wanajiajiri, wanatimiza ahadi
 
Halafu hiyo kodi inayopatikana iwekewe mfuko maalum wa kununulia ARV, wazo zuri mdau keep it up!
 
Wajasilimia MWILI wapo wengi hapa kwa hivyo hoja imepita waruhusiwe kuwepo gesti maarumu za kulipia
 
Kwa wahafidhina lazima msimame na kucha kupinga tulizeni mpira haya ndiyo manufaa ya biashara hii
1.Kipato kwa mhusika hujipatia kipato cha kumwezesha kumudu maisha na chanzo kwa mapato ya serikali kwa kodi itakayokusanywa USA inaongoza kwa kukusanya kodi kupitia biashara hii
2.Husaidia sana watu walioko bussy kutokana na majukumu yao kuwanyima muda wa kutafuta wapenzi kutokana na mlolongo wa vijimambo katika kumfuatilia mara maua meetings zaidi ya mia na mapozi juu hadi afanikiwe kwa biashara hii inaondoa usumbufu wote ni cash yake tuu
3.Inasaidia wanaume madomo zege wale ambao hawajiamini hawawezi kutongoza midomo imekula zege hawa wanakuwa wepesi kupitia biashara hii
4. Husaidia kupambana na umasikini
5.Husaidia mauzo ya condoms,nyumba za wageni,baa(eg.kona,maeda,night clubs zote) kuongeza kipato kupitia mauzo katika biashara hii.
6.Husaidia kuondokana na tatizo la wanaume kujichua kwakuwa huduma itapatikana kirahisi bila vikwazo. Ni wakati sasa wa kuachana na tamaduni za kale za mwaka 40 kuona hii kitu mbaya

Nimekoma kama wakiipitisha wewe utauza nini?
 
Back
Top Bottom