Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Ndugu ni mashine za hapa hapa angalia na mota inayowekwa mkuu

kuipata complete unit 2.4m Kusaga na 2.5m kukoboa vyote vimekamilika ni kuchangamka kweli mkuu?

Bila hivyo unatengenezewa kitu kibovu hata mwaka hakifikishi unatafuta mafundi PATA HIZI MASHINE HADI WATOTO WAZIKUTE

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitafute wadau wa hii tasnia ,alafu nitawatafuta ,nataka kuingia katika hii production
 
Habari zenu wadau,

Ninaomba kama kuna mzoefu wa biashara hii aweze kunisaidia mawazo jinsi ya kuanzisha biashara ya kusaga, kukoboa na kuuza unga pamoja na kujua ni mashine aina gani zinafaa kwa kazi hii pamoja na bei zake.

Natanguliza shukrani.
 
Kabla hawajaja wa kushauri juu ya aina ya mashine, ni vema ukayajua haya machache

Soko lako li wapi, ukianza na upatikanaji wa walighafi (mahindi) yenyewe utakapoyapata kwa bei nafuu ili kupunguza gharama za uzalishaji, pili sehemu uliotageti kuuzia product (unga) wako.

Ni vema sehemu uliopangilia kuwa utakuwa unauzia unga iwe ni sehem yenye uhitaji. (Kuna sehemu mfano wanakolimia mahindi kwenyewe ni ngumu kupata soko la kuuzia unga wako maana kila mmoja karibia huwa ana mahindi yake anasaga kwa matumizi ya familia)
 
Nashkuru kwa ushauri wako mzuri

Wazo lako ni zuri, kwani kuwekeza ktk chakula na ukahakikisha unakidhi viwango na mahitaji ya walaji wako utanufaika na kunufaisha wengi, binafsi nakushauri endelea na mpango wako.
Na mimi hapa nimepata wazo ndiyo uzuri wa JF.
 
Wkuu natafuta markting personel kwa ajili ya kuuza bidhaa zangu za Dona na Sembe naomba kama unamjua yeyote au wewe mwenyewe tutafutane kwa 0743330819
 
Hello wakuu natafuta sales and marketing personel naomba yeyote anayemfahamu expert yeyote aniunganishe naye kwa 0743330819
 
Mimi Nina Mahindi gunia 80 zenye ujazo na uzito wa 120kgs

Nauza kilo moja Tsh 800

Nipo songea

Wilaya Namtumbo

Ni Jirani na barabara kuu iendayo mkoa wa Lindi-Dar

Ukihitaji nichek inbox
 
Back
Top Bottom