biashara ya kucha na visigino MWENGE....

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
ni kwamba maisha yamekua busy saaana, watu wanashindwa kunawa nyumbani...ni kwamba uchafu wa cku hizi ni mgumu sana hauwezi kuondoka kwa njia ya kunawa kawaida home!!?cjui!!!
...lakini hilo dogo...njia ya kusafisha hizo nyayo na kucha ndo balaaa!!!kwanza ni mkaka anaefanya hiyo kazi...na sharti dada aweke miguu juu ya mapaja ya msafishaji(MKAKA)...
ile miguu inakaa karibu kabisa na nyeti...duh!!mtego wa kwanza...
kama kavaa sket ndef shariti aipandishe juu kidogo ila asuguliwe fresh....mtego wa pili
kule kusuguliwa ni sawa na kutekenywa, ambako husisimua mwili, haswa kama ni jinsia tofauti...mtego wa tatu...
niseme yote, najua mna yenu pia...
 
watoa huduma wa mwenge huwa wanatoa namba zao za simu kwa mawasiliano zaidi
 
ndiyo utandawazi wenyewe huo, pengine na binti zako kama siyo mamaa nao wanaoswaga pale pale ati.
 
Kweli mkuki kwa nguruwe. Je mnasemaje kuhusu wanaume wanaoshikwa shikwa huko salon na wasichana wanasema wanafanyiwa scrubing sijui whatever, wanafunguliwa mashati hadi kifungo cha katikati au anavua kabisa anabakia na vesti, halafu janaume linajisahau kabisa hadi hinakoroma puuh! sso disgusting!
 
Back
Top Bottom