Jamani mie nina plan ya kufuga kitimoto kwa wingi. Nimesha fuatilia kwa karibu gharama infmashen nyingi ila kabla sijaanza ufugaji wenyewe naomba nijue kuhusu soko.
Nia yangu ni kufuga na kuuza wakiwa wazima (sio kuuza nyama) kwa hivyo naomba ajuaye anifahamishe wapi lilipo soko zuri la hii nyama nzuri. Soko hilo lipoje(kama kwa kilo ni bei gani)? Kwa uwezo wangu na plan yangu naweza kutoa kitimoto sio chini ya 50 kila awamu.
Mimi nipo Mwanza.
Ninaomba kufahamishwa please.