Biashara ya internet service provder in africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya internet service provder in africa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by C.T.U, Dec 13, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  WAKUU HABARI ZENU NAPENDA KUJA NA IDEA YA BIASHARA YA INTERNET PROVIDING SERVICE KWA NCHI ZA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA....

  HII NI IDEA AMBAYO NINA iDEVELOPE NOW BAADA YA KUONA KUWA INTERNET BUSINESS BADO INASUA SUA NATAKA KUJA NA KU STICK KATIKA IDEA WHICH WILL It provides fourth generation or 4G wireless broadband internet Targeting yetu ni nchi 16 za Kusini mwa jangwa la sahara na Tanzania ikiwa kama HQ yetu mpango wa kampuni ni kuwa private kwa 10 years ya operation then itakwenda na kuwa public...

  tutatumia technolojia ya OFDM NA MIMO katika kuendesha biashara yetu hii.. nimeshafanya reseach kwa afrika na nimepata kuwa kuna market share ya kutosha katika ku dominate hii biashara ...

  baada ya one and half year of operation kwa dar es salaam tutaanza kuwa multnational company kwa kuanza na south africa, kenya na kumaliza nchi zote 16 zilizoplaniwa kutoa huduma yetu tuna mpango mpaka kufikia 2024 tuwe na subscribers 20 millions kwa Afrika business plan imeshaandikwa tunachotaka ni kuanza process za kutafuta ANGELS INVESTORS then baada ya miaka 5 tutaanza kutafuta VENTURES INVESTORS

  kama ujuavyo kila kitu kinahitaji ushauri na maoni nilikuwa ninaomba ushauri chochote kuhusu biashara hii na toa maoni yeyote kuhusu biashara hii na

  NITAJITAHIDI KUKUJIBU....
  TELL ME ANYTHING + CHALLENGE.....
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Umefatilia hawa Jamaa:
  1.SEACOM
  2.EASSY
   
 3. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  okay hawa seacom ambao wako chini ya submarine company wame specialize sana kwa cable network right so we were thinking kama tutakuwa ni wireless internet providers ambayo sisi tutakuwa tuna stick sana kwa individuals tutadili na RESIDENTIAL HOUSES na OFFICES.

  So tofauti kati yetu na SEACOM ni kuwa wao ni wame specialize kwa cable broadband according na kiji research nilichowafanyia sisi tutadili na wireless broadband ambayo ni more advance....
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu kama mtakuja na ubora ambao hauta katakata network itakua nzuri sana
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  correction mkuu. Essy na seacom ni makampuni ambayo yainterconnect nchi mbali mbali through isp's ili kusaidia kupunguza gharama za internet. So kwa kuconclude naweza sema eassy na seacom fibres is just a backbone.
   
 6. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mkuu hilo ndio lengo letu namba moja....
   
 7. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  okay mkuu nashukuru sana ngoja nitawafuatilia hawa jamaa
   
 8. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mkuu hongera kwa hiyo idea........nipo pia kwenye business hii ya telecom industry..nimefanya technical surveysa kwa different customers in Tanzania yote nakugundua demand ipo juu sana..some tumeweza kuwaservice..

  kwa uelewa wangu Broadband Wireless Access (BWA) ni point to point/point to multipoint technology ambayo mtaitumia kama lastmile kumfikia mteja husika...tunaita backhauling...zipo radio mbalimbali zinazotumika ingawa kwa sasa product za Radwin zinakubalika zaidi

  Challenge kwako itakuwa kwenye backbone network/infrastructures..mmejiandaaje kwa hilo hasa kuwafikia remote users...mtajenga Base Station systems?
  Seacom/Eassy wao wanastand kama a point of integration/multiplexing all the way to the rest of the world....

  ila ni business nzuri saana na inayolipa mno kama mkijipanga vizuri...........nipo tayari kuwa balozi wako or to asist in consultancy services....niPM
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  okay mkuu nashukuru sana kwa ushauri okay katika infrastructure ni kwamba ndio tunataka ku meet na na angels investors tuone ili kupata fund ya kujenga base station in tanzania then after 5 years baada ya kupata venture investors funds ndio tutajenga base station katika nchi nyingine.... So i think kwa hilo ni kumuomba mungu na hard working tutafanikiwa

  okay nimeshaliandika jina lako kwa my diary....mkonowapaka mambo yakiwa yameiva lazima niku pm
  (am a man of ma words)
   
 10. Mike Mushi

  Mike Mushi JF Founder

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 253
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  C.T.U

  Wireless Broadband Internet ni idea nzuri.. Ila changamoto moja kwenye hii biashara ni hawa Mobile Operators. Ukichecki Stats za TCRA utagundua kwamba more than 90% ya watumiaji wa internet tanzania wanatumia modem za mitandao ya simu (kuna estimat ya watu 600,000 ya watumiaji wa internet tanzania) Kwa kifupi ni kwamba hawa mobile operators wame monopolize hii biashara so inakuwa vigumu kwa watu binafsi kama nyie kuingia na kufanya vizuri.

  Ila opportunities zipo. Mfano unaweza ukaingia agreement na hizo mobile operators mkaingia some sort of lease aggrement ya kutumia base station zao wewe ukafunga mitambo yako. ( I heard Zantel wanafanya hii, wanatumia base station za Vodacom). Na pia nilisikia TCRA hawataki watu watengeneze tena base stations na kwamba watu wingie kwenye leasing agreement kama hilo eneo tayari kuna station. So na hili pia uliangalie.

  Naamini, kama utaweza pata coverage nzuri, hasa ukianza na mikoa ya Dar, Arusha and Mwanza. Na internet ikawa na speed nzuri watu wengi sana watahama hizo modem za mobile operators. Na pia jaribu kufuatilia SasaTel inavyo operate hapa dar. Ninavyofahamu, wanadepend on Data kuliko voice on their revenue.

  Mwisho kabisa naona hapa kitakachokusumbua na kitakachokufanya usiende mbele haraka ni Kupata License TCRA, kupata agreement na hizi base station za huku kwetu na pia kupata hao Investors. Other than that, its a very good project.
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Okay mike hapa mimi nimekupata tena sana okay katika suala la hii business nimepata kitu hapa ngoja nifuatilie hawa watu wa zantel wanafanyaje??

  nimeshaona sehemu za changamoto ni
  tcra
  na kwa kupata agreement kwa base stations
  investors haliumizi kichwa sana.

  nashukuru bwana mike ngoja nijitahidi kufuatilia hivyo vitu ulivyonishauri
   
 12. b

  ben van mike JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 471
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 33
  mkuu kila lakheri hii biashara inalipa sana ....
   
 13. mzozaji

  mzozaji JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu naomba kukuuliza swali dogo tuu. Wewe Gateway yako ya kutoka nje itakuwa ya aina gani? Utatumia Seacom au Satellite?
   
 14. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wataalamu hapa wamenishauri seacom mkuu
   
 15. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  akhsante mkuu
   
 16. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwa taarifa yako TCRA ipoipo tu pale lakini wenyewe ni hao unaotaka kushindana nao Kibiashara, usiwaingie kichwa kichwa kwani uwezekano wa kukunyima License ni mkubwa kama Tembo wa Mikumi

   
 17. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  "penye Urembo pana Ulimbo"

  Usiwe na hofu na hilo.Mkuu atakapouja atutafute tutaweka mambo sawa.TCRA ni watu tunaofanya nao kazi kwa ukaribu sana.Tutahakikisha anapata hiyo licence.La muhimu hapa ni kuwa na uhakika kuwa hiyo project ni serious project na kweli itatusaidia kulisukuma gurudumu la maendeleo.TCRA watakua ni vichaa kama kweli issue inawapa nao milleage halafu wataipiga chini.Lamsingi ni kuepuka tu project za kitapeli halafu wote mliohusika kuifanya isonge muonekane matapeli.sie wengine hayo mambo ya kina Mzamili Katunzi na papa Msofe hatukulelewa nayo.
   
 18. Baba Sangara

  Baba Sangara JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 16, 2007
  Messages: 244
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Hata kama TCRA watakupa license, frequency bands zipo?.. usije ukaingia mkenge kama WARID Ivory coast. Walipewa license, wakajenga network halafu walipokuja kuomba frequency bands wakaelekezwa kuwafuata exsiting operators wawagawie.... Frequency za 4G hutapewa, TRCA wanajua thamani yake na watasubiri mpaka akina voda/Airtel/Tigo nk wako tayari kuzinunua.
   
 19. Mike Mushi

  Mike Mushi JF Founder

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 253
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Na pia kabla hujakwenda mbali.. nathani kuna watu tayari wanafanya hiyo biashara. hebu wacheki 4G Mobile | Wimax Mobile Technology | Tanzania
   
 20. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  okay okay i will see what i can do....
   
Loading...