Biashara ya injini za simu.circuit motherbord. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya injini za simu.circuit motherbord.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Slave, Jan 11, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Katika dunia ya leo hakuna kitu unachokiona na kikawa hakina thamani,kwa wale waishio miji mikubwa wameona jinsi watu wanavyo okota makopo ya ma maji,vyuma,mawe,na hata zile nywele sinazotupwa toka salon na kuufanya ule msemo wa "chazamani ni dhahabu" mie nae nimejaribu kufanya utafiti na kugundua kwamba ninaweza kuanza kukusanya saketi za simu toka kwa mafundi simu na kupata mzigo mkubwa.mfano kama kila siku nitanunua kilo 20-30 inamaana kwa mwezi naweza kupata tani moja ya saketi mbovu za simu.na hata kama nitapata faida ya sh 1000 kila kilo inamaana kila mwezi nitakuwa napata 1.ml mpaka hapo zitakapo anza kuadimika.tabu iliyopo ni soko sina uhakika kama hii biashara hapa kwetu tz ipo ila nasikia china kuna makampuni yanafanya hii biashara.www.recyclechina.com lengo la post yangu ni kupata uelewa wenu mzuri juu ya hili wazo langu na soko kwa ujumla pia nitafurahi kama nitapata mchanganuo utakaonipa njia ya kuanyia.
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Inawezekena hii biashara hakuna anae ifahamu au ktk uandishi wangu niko wrong.
   
 3. m

  mtotowabovu Member

  #3
  Jan 17, 2015
  Joined: Jul 2, 2014
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  oya mimi nanunua huo mzigo. 0652 6771 35
   
 4. mxsdk

  mxsdk JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2015
  Joined: Aug 11, 2014
  Messages: 3,462
  Likes Received: 1,695
  Trophy Points: 280
  una uakika mzigo unanunua?mi nko mkoani,km vip nianze kukusanya,my no 0713554524
   
 5. durasco

  durasco Member

  #5
  Apr 25, 2015
  Joined: Jul 16, 2013
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  upo mkoa gani??
   
Loading...