The_vision
Member
- Feb 9, 2022
- 13
- 63
Habari wanajamvi,
Ningependa leo niongelee kidogo kuhusu changamoto zinazotukabili watanzania kuwekeza katika hisa za nje ya nchi (foreign stocks) sijajua kama na mataifa sijajua kama na mataifa mengine ya kiafrika yanakutana na changamoto hizi katika kuwekeza kwenye masoko hayo
Changamoto zinazotukabili kwa hapa Tanzania kuwekeza DSE na kuamua kutafuta njia ya kuwekeza kwenye hisa za nje ya nchi ni mlolongo mrefu mpaka kuja kununua, brokers wa Tanzania wanachapa commissions kubwa ukilinganisha na wa mataifa ya nje pia ni ngumu kwa watu wa mikoani kuwekeza sehemu walipo mpaka kufika DSE na baadhi ya changamoto nyingine kwa wengine watataja tu
Changamoto zinazotukabili za nje ya nchi ni kua baadhi ya brokers wa nje hawaluhusu wa Tanzania kununua hisa za US na UK na mataifa ya ulaya hata kama una NIDA na Passpot baadhi ya brokers hao ni Fidelity, TD Ameritrade, Robinhood Etoro nk
Umuhimu wa hisa za nje ni kua makampuni ya nje mengi yanakua haraka kulinga na uchumi wa mataifa hayo kua mkubwa hivyo inapelekea kupata gawio nono na hisa kupanda thamani kwa haraka ukilinganisha na uchumi wa Tanzania
Hivyo basi kama kuna anahejua jinsi mbadala ya kununua hisa za nje ya nchi kama Tesla, apple, cocacola nk atueleze sababu hisa zina faida sana kwa ambao sisi vijana ambazo zitatusaidia kwenye maisha yetu ya mbeleni huko.