Biashara ya gesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya gesi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by serio, May 6, 2011.

 1. serio

  serio JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  ndugu wana jf,
  nataka kuanzisha biashara ya kuuza gesi ya kupikia na accessory zake.,naomba msaada kuhusu procedure zinazotakiwa ili niweze kufanikisha ndoto yangu.
  pia mwenye idea na strategic business proposal naomba anisaidie.
  natanguliza shukrani.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kama uko serious piga simu hapa saa za kazi +255222120584 hawa watakupa kila kitu bila longo longo.
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  poa mkuu.,asante.!!
   
Loading...