Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Nishaifanyaga hii buzne long time.nilikua na ps2 tatu tu. Weekday nilikua naletewa 10,000 to 15,000. Weekend naletewaga 35,000 to 46,000. Changamoto ni pads watoto wanazivunja hasa game la baiskeli, god hand.

Ukiwa na hasira waweza mpiga mtoto kwenzi jinsi wanavyoharibu padi mbele yako. pads nzuri za mtumba zinauzwa kariakoo round about unaelekea mtaa wa kongo kidogo kushoto kuna chimbo la mambo ya ps.kuibiwa flash ni kawaida sana.

Nilikuja kuacha baada ya mzee mmoja alistaafu akachukua hela ya lidandasi akafungua ps kubwa mativii kibaao madogo wakanikimbia. Nikafunga nikauza ps zote kwa bei ya hasara.
 
Nishaifanyaga hii buzne long time.nilikua na ps2 tatu tu. Weekday nilikua naletewa 10,000 to 15,000. Weekend naletewaga 35,000 to 46,000. Changamoto ni pads watoto wanazivunja hasa game la baiskeli, god hand. ukiwa na hasira waweza mpiga mtoto kwenzi jinsi wanavyoharibu padi mbele yako. pads nzuri za mtumba zinauzwa kariakoo round about unaelekea mtaa wa kongo kidogo kushoto kuna chimbo la mambo ya ps.kuibiwa flash ni kawaida sana.
Nilikuja kuacha baada ya mzee mmoja alistaafu akachukua hela ya lidandasi akafungua ps kubwa mativii kibaao madogo wakanikimbia. Nikafunga nikauza ps zote kwa bei ya hasara.
Hahhaha...kaka ulijisahau. Ilitakiwa uji upgrade to ps3 na ps4
 
Natumaini hamjambo.

Nina plan ya kuanzisha game center maeneo ya uswahilini kwa kuweka PS2 2 na PS3 2 ningependa kufahamu magemu pendwa kwa upande wa PS2 na PS3 na pia bila ya kusahau aina ya magem ambayo huaribu pad Kwa haraka ili nisiweke mengi.

AHSANTENI.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom